Madhara gani ya kuishtaki taasisi isiyokuwepo yaani Bodi ya Wadhamini (Board of Trustee) badala ya The Registered Trustee?

Madhara gani ya kuishtaki taasisi isiyokuwepo yaani Bodi ya Wadhamini (Board of Trustee) badala ya The Registered Trustee?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wanasheria na wasomi wengine naomba unisaidue majibu ya nini madhara ya kuishtaki taasisi isiyokuwepo yaani Bodi ya Wadhamini (Board of Trustee), badala ya The Registered Trustee.
 
Katiba ya Chadema inasemaje katika hayo mawili?
 
Wanasheria mfano Prof Kabudi, Halima mdee , Peter Kibatala na wasomi wengine wa sheria Tz .
Ninaomba unisaidue majibu ya kichwa cha habari hapo juu
Vyama na makampuni wanaitwa corporate bodies, wanaweza kufanya kila kitu as a natural person, na kukitokea any civil or criminal liabilities, inashitakiwa office bearers wa kampuni au chama, at the same time, wanashitakiwa wamiliki wa kampuni na kwa vyama strustees.

Kampuni au chama kikikutwa na kosa la civil liabilities, chama ama kampuni inawajibika kuadhibiwa, lakini kama ni criminal liabilities, wanaokwenda jela ni office bearers na kama wamiliki waliijua jinai hiyo, mahakama ina lift kitu kinachoitwa a corporate veil, na wamiliki ndio wanao kwenda jela kwasababu kampuni au chama hakuwezi kufungwa jela, kama ilivyo kwa civil liabilities mzazi anawajibika kulipa fidia kwa makasa ya mtoto wake ambaye ni minor, hivyo trustees wa chama, ndio wanawajibika mahakamani kwa makosa ya chama chao.

Kila chama ili lisajiliwe ni lazima kiwe na wadhamini, haijalishi utatumia jina gani be it ni bodi ya wadhamini, au Baraza la Wadhamini, au Wadhamini tu. Na kwa makampuni ni wamiliki wa kampuni, directors or board of directors.
P
 
Iwapo ukiishitaki CRDB bank badala ya CRDB Bank PLC? Ni nini madhara yake?
 
Back
Top Bottom