Madhara kwa mimba na mtoto

Madhara kwa mimba na mtoto

party da boy

New Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Ni madhara yapi kwa mimba au kwa mtoto yanayoweza kutokea kama mimba ilipatikana wakati mwanaume akiwa anaumwa maleria na yupo ndani ya dozi na akakutana na mwenza wake na kufanikiwa kumpa ujauzito?
 
Back
Top Bottom