Madhara kwa mjamzito kutosex je kutamfanya njia kutofunguka?

Wataalamu wa mambo wanasemaga zile shahawa za mwanaume usaidia utelezi na ufanya nyapusi isiwe kavu na isijibane.

Note: hii nimeithibitisha mwenyewe maana ukikaa mda mrefu Bila kusex uke uwa mdogo na uume uingia kwa shida lakini ukisex kila Mara uzuia njia ya uke kujibana.
Wewe ni Mwanamke?

Mbona status inasoma male?
 
Mimi kwa nyege zile kubana siwezi lbd yeye akipata ujauzito zinakata tunatofautiana ujue
Ni kweli kuna kutofautiana ila kuna wengine wakipata ujauzito huchukia waume zao na kuwapenda wakata majani naanza kuhisi #ev --[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wale wanaobakwa sijui wao njia inakuwa vipi, wale ambao wako mbali na wenzi wao nao njia zao inakuwa vipi!!!!

Nawaza tu kwa sauti!!!
Wanateseka kiukweli na kuumia ila hawana cha kufanya ila wengine wanatafuta namna na kujiponya kwa msimu wa mpito [emoji12] [emoji12]
 
Ni kweli kuna kutofautiana ila kuna wengine wakipata ujauzito huchukia waume zao na kuwapenda wakata majani naanza kuhisi #ev --[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Unaweza kusex na mama mjamzito hadi siku ya kujifungua ili mradi tu hana tatizo lolote la kiafya.Na mjamjizito kukaa bila kusex hakuleti madhara yeyote katika kujifungua.Mwanamke mjamzito anapoacha kusex bila sababu yeyote ni kujitesa bila sababu yeyote.Nyege kipindi cha ujauzito hua ni nyingi sana hivyo mjamzito anatakiwa kuburudika na tendo hilo kadri anavyojisikia.Wapo wanaume wajinga ambao huwatenga wake zao wajawazito na matokeo yake mwanamke huanza kuliwa na ndugu wa mwanaume kiulani.Mjamzito aachwa pale tu anapokuwa na matatizo ya kiafya.
nasikiaga tu sina hakika ukifanya mapenzi siku akira anakaribu kujifungua zile mbegu zinaenda kwa mtoto ivyo mama anakuwa na mashahawa ya ela yote manesi wanagoma kumshika sina hakika lakin nilisikia tu
 
Sio kweli ngoma zingine tunacheza Leo kesho tunashusha injini kiroho safi na manesi wanashusha sifa kemkem za hongera mwanao msafi hadi raha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unaweza kusex na mama mjamzito hadi siku ya kujifungua ili mradi tu hana tatizo lolote la kiafya.Na mjamjizito kukaa bila kusex hakuleti madhara yeyote katika kujifungua.Mwanamke mjamzito anapoacha kusex bila sababu yeyote ni kujitesa bila sababu yeyote.Nyege kipindi cha ujauzito hua ni nyingi sana hivyo mjamzito anatakiwa kuburudika na tendo hilo kadri anavyojisikia.Wapo wanaume wajinga ambao huwatenga wake zao wajawazito na matokeo yake mwanamke huanza kuliwa na ndugu wa mwanaume kiulani.Mjamzito aachwa pale tu anapokuwa na matatizo ya kiafya.
Usisahau kuwa vaginal fluid ya mama mjamzito huwa na smell ambayo inaweza kukutoa kwenye mudi
 
Hapana Mkuu kitu inakuwa nzuri kawaida ila inazidi kuwa tamu zaidi maana ina joto zaidi hivyo kuongeza mood Sana Mkuu acha iyo maneno natamani kujaza tuu [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom