Madhara kwa mjamzito kutosex je kutamfanya njia kutofunguka?

Madhara kwa mjamzito kutosex je kutamfanya njia kutofunguka?

Mie nielewavyo mwisho wa kupigwa mbupu, mama mjamzito mwisho miezi 7 au minane, ikumbukwe mama mjamzito. Mimba ikifikia miezi 7, anaweza kujifungua mtoto njiti, asietimiza miezi 9.
 
Unaweza kusex na mama mjamzito hadi siku ya kujifungua ili mradi tu hana tatizo lolote la kiafya.Na mjamjizito kukaa bila kusex hakuleti madhara yeyote katika kujifungua.Mwanamke mjamzito anapoacha kusex bila sababu yeyote ni kujitesa bila sababu yeyote.Nyege kipindi cha ujauzito hua ni nyingi sana hivyo mjamzito anatakiwa kuburudika na tendo hilo kadri anavyojisikia.Wapo wanaume wajinga ambao huwatenga wake zao wajawazito na matokeo yake mwanamke huanza kuliwa na ndugu wa mwanaume kiulani.Mjamzito aachwa pale tu anapokuwa na matatizo ya kiafya.
Acha uongo
 
520a717880c2e854e215891332c0abec.jpg

Ee

Wadau habari zenu! naomba kuuliza kwa wanawake wenzangu na wataalamu, wakuu humu ndani, yapi madhara mwanamke mjamzito anaweza kupata kama atakaa katika kipindi chote (yaani miezi tisa) kama atakaa bila sex na mwenza wake labda kwa sababu kadhaa, kukosa hisia, kutoelewana, km tunavyojua kipindi cha ujauzito ni kigumu kwa baadhi ya watu, pia km tunavyojua ktk dunia ya sasa magonjwa ni mengi haswa pale unapoona mwenzio 50/50 ni heri kumkinga mtoto kuliko kumuendekeza mtu ambaye hajitambui.

Swali hivi ni kweli kukaa bila kusex kunaweza kuleta shida wakati wa kujifungua? Ni neno huwa lipo midomoni mwa watu sana. Wakuu naomba naomba kujuzwa.

Kiroho safi si kwa matusi wakuu.



Sio kweli kabisa, mfano ni Mimi Mme Wangu alifariki nikiwa na mimba ya miezi miwili na nimejifungua salama
 
Back
Top Bottom