Absolutely big No . Hii n kwa sababu vidonge vimetengenezwa kwa hormones ambazo huzuia utengenezwaji wa yai la mama na hormone hizo zinafanana na hormone asilia za mwanamke. Kwa maelezo zaid waweza kuja PM.OKJe kunamadhara yanayoweza kumpata mtoto pindi mimba imeingia kwa bahat mbaya na mama alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango??
kaka,mke wangu huyo lknAbsolutely big No . Hii n kwa sababu vidonge vimetengenezwa kwa hormones ambazo huzuia utengenezwaji wa yai la mama na hormone hizo zinafanana na hormone asilia za mwanamke. Kwa maelezo zaid waweza kuja PM.OK
PoleeNa mawazo sana mana nimeambiwa kuwa mtoto atakuwa na matatizo
Mlifanikiwa kupata mtoto?Je kunamadhara yanayoweza kumpata mtoto pindi mimba imeingia kwa bahat mbaya na mama alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango??
Hiyo D ulijibia swali la repro. MkuuIla kwa D yangu ya biology naona hakuna madhara kwa sababu kwanza bila shaka mbinu hiyo ilifeli ndo maana mimba ikapatikana au mda wake ulipita. Sioni kama kuna direct negative affect.