Madhara kwa mtoto kwa mama aliyetumia vidonge vya majira

lovernel

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
85
Reaction score
34
Je kunamadhara yanayoweza kumpata mtoto pindi mimba imeingia kwa bahat mbaya na mama alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango??
 
Ila kwa D yangu ya biology naona hakuna madhara kwa sababu kwanza bila shaka mbinu hiyo ilifeli ndo maana mimba ikapatikana au mda wake ulipita. Sioni kama kuna direct negative affect.
 
OK asante
 
Je kunamadhara yanayoweza kumpata mtoto pindi mimba imeingia kwa bahat mbaya na mama alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango??
Absolutely big No . Hii n kwa sababu vidonge vimetengenezwa kwa hormones ambazo huzuia utengenezwaji wa yai la mama na hormone hizo zinafanana na hormone asilia za mwanamke. Kwa maelezo zaid waweza kuja PM.OK
 
kaka,mke wangu huyo lkn
 
Na mawazo sana mana nimeambiwa kuwa mtoto atakuwa na matatizo
 
Back
Top Bottom