Madhara na Usalama wa Upandikizaji

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
TRANSPLANTS:
Kuna aina ya mfumo wa uoteshaji ambao dunia wakoloni//wazungu kupitia vyuo vikuu mbali mbali kwao au hata hapa kwetu Africa umeuona una maana na hata kupewa kipaumbele.

Aina hii ya upandikizaji wa mimea hasa kitaalam hupandwa wakati hata husio wa msimu ili kupata lengo, mfano mmea unaotaka kuupandikiza au trans feed unaweza kufanya hivo kwa kuuweka ndani ili kuuepusha na kipindi kisicho chake, (msimu)
Hivo basi mmea huo ukisha nawili kufikia umribunaweza kuvumilia magonjwa unaweza kuupanda nje sehemu uliyopanga kuupanda.

Hapo ktk mlolongo huo uchukuliwa mmea tofauti kama ulipanda mwembe, ukifika hatua ya magotini unauunganisha na mmea unaotaka na ambao umefanyiwa utafiti kwa kukata ule mwembe kwa mchorobwa V na kipande cha mti wa pili utakachounga pale juu unakata mchoro wa v iliyogeuka juu.

Baadaye utapata aina mpya ya mche uliotarajia, hapo ni kutokana na utafiti. Na ifahamike wazi kuwa upandikizwaji huu ni kwasababu tu miche iwe inatoa/zalisha vyakula mapema kuliko ilivyo kawaida yake.
Mf. Mwembe badala ya miaka 5-8 basi kwa muda qa miaka 2 unakula maembe.

Hivi majuzi huko mbeya wakulima wa viazi mviringo walikuwa wakipewa elimu ya ukulima wa mbegu bora na za kisasa za viazi vya muda mfupi na ambavyo kama ulikuwa (mfano) unalima ekari moja na kupata gunia 8 basi utapata gunia 15.

Mdau nini unachojifunza kwa ubunifu huu wa kisasa kwa ajili ya mkaazi wa dunia juu ya vyakula hivi vya biochemistry..?

Nawasilisha.
 
Nilivyoanza kusoma nilidhani mambo ya ujasusi
 
Wadau ndiyo maana nimeiweka kwenye jukwaa la sayansi, ukijua hilo hutapata shida, na ndiyo maana ukakutana na neno TRANSPLANTING.

But upande huo wa inquisitiveness (ujasusi) nitawaletea mada siku ingine.
 
Mimi nilikuwa tayari kumwaga mambo nikijua pandikizi la wasaliti


swissme
 
Mojawapo ya Trans planting ikionekana katika picha.
 

Attachments

  • 1428560354381.jpg
    62.4 KB · Views: 64
  • 1428560392281.jpg
    81.2 KB · Views: 60
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…