Madhara nguvu za kiume kwenye maharage ya soya kwa watoto wachanga wa kiume?

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
Wana jf naomba kuuliza kama kuna ukweli katika hili ama ni myth tu za watu. niliwahi kusikia kwa watu mtaani kuwa watoto wa kiume tu, wanaolishwa uji uliochanganywa na viinilishe vingine kama dagaa, ulezi,n.k.

Lakini ukaweka na maharage ya soya ambayo hayajatolewa maganda yake kwenye huo mchanganyiko na ukasaga upate unga wa kumtengenezea uji, ni kwamba uwepo wa maganda yake(soybeans) yanapelekea kuua nguvu za kiume kwa watoto hawa.

Naomba mnijuze kama hili lina ukweli wowote ama ni hadithi tu za mitaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…