Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

eastzoododoma

Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
21
Reaction score
20
Hello members

Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala

Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami kama zamani!

Mwenye suluhiso wa hili jambo naomba anisaidie!
 
Dhamira ya vumbi la kongo si kufanya uume usimame sana kama wengi wanavyofikiria, dhamira yake ni kutia ganzi uume kiasi cha kutokuhisi chochote kupelekea kutofika mshindo mapema.

Kiuhalisia vumbi la kongo ni sawa na kuondoa uwezo wako wa kuonja chakula hivyo kukufanya ujaze tumbo tu pasi kujua unachokula kina ladha gani.

Lilokukuta wewe ni mchecheto wa hiyo mechi kupelekea kudisa nusu nusu ukijumlisha na ganzi ukashindwa kufanya lolote. Ondoa dhana kuwa kuna hitilafu ndani yako maana kila ukiamini ushaingia ubovu basi ndio unajipa ubovu.

Nje ya mada, kijana wa miaka 24 unahitaji booster ya nini? Mbona damu yako changa tu kuweza kuhimili tendo pasi msaada.

Halafu papa haikomoleki kijana, sehemu inatoka ndonga ya binadamu unataka kushindana nayo wewe???
 
Unaamini sana vitu mkuu
Kula vizuri
Fanya na mazoezi
Usifanye mapenzi kwa mda
Sali sana
Shetani anapita na wengi
 
Hello members

Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala

Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami kama zamani!

Mwenye suluhiso wa hili jambo naomba anisaidie!

Miaka mingapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vumbi na viksi ni vibaya sana vinasababisha nerve damage na sijui ni jinsi gani ya kurudi kwenye hali ya zamani
 
Hello members

Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala

Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami kama zamani!

Mwenye suluhiso wa hili jambo naomba anisaidie!

Unless uwe hujui vumbi la Kongo au umeleta stori ya kutunga.

Iko hivi, vumbi la kongo haliongezi nguvu za kiume. Narudia tena, nasema hivi vumbi la Kongo halihusiani na nguvu za kiume wala haliongezi nguvu za kiume.

Sasa vumbi la Kongo la nini?
Kazi ya hilo vumbi ni kuondoa hisia (skin sensation) unayoipata wakati wa kusex ule mguso wa ngozi ya uume unaondoka kutokana na hali ya ganzi inayotengenezwa na vumbi la Kongo.

Yaani ukipaka vumbi baada ya muda ngozi ya uume inaingia ganzi kwahyo ukianza kusex utakuwa hupati ule utamu unaotokana na mgusano wa uume wako na uke na hivyo kupelekea ukojoe mapema.

Kazi ya vumbi la Kongo
1. Kufanya uchelewe kukojoa
2. Kufanya uweze kuendelea na tendo baada ya kukojoa first round kwa sabab ile hali ya kuhisi utekenyo unakuwa huipati kwahyo mzee baba halali anaendelea na kazi.

Ushauri ni kwamba katafute dawa ya nguvu za kiume usiharibu brand ya Vumbi la Kongo
 
Hello members

Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala

Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami kama zamani!

Mwenye suluhiso wa hili jambo naomba anisaidie!
Ulipata dawa
 
Back
Top Bottom