Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

Hivi humu hamnaga madaktari au watu na waliokutana na kesi kama hizo watoe muongozo nini cha kufanya au mtu aliponaje??
 
Yaani 24 unatumia puturuu sisi wa 40s tutumie nn Sasa?

Dogo sio Kila kitu ni Cha kuiga ukifika kwanzia 35 above Kama uliyatumia hayo ma kitu sana utakua anithi (tohashi kwenye jumba la kifalme) hivi hivi unajiona na hamna kitu utafanya
 
Back
Top Bottom