Dhamira ya vumbi la kongo si kufanya uume usimame sana kama wengi wanavyofikiria, dhamira yake ni kutia ganzi uume kiasi cha kutokuhisi chochote kupelekea kutofika mshindo mapema.
Kiuhalisia vumbi la kongo ni sawa na kuondoa uwezo wako wa kuonja chakula hivyo kukufanya ujaze tumbo tu pasi kujua unachokula kina ladha gani.
Lilokukuta wewe ni mchecheto wa hiyo mechi kupelekea kudisa nusu nusu ukijumlisha na ganzi ukashindwa kufanya lolote. Ondoa dhana kuwa kuna hitilafu ndani yako maana kila ukiamini ushaingia ubovu basi ndio unajipa ubovu.
Nje ya mada, kijana wa miaka 24 unahitaji booster ya nini? Mbona damu yako changa tu kuweza kuhimili tendo pasi msaada.
Halafu papa haikomoleki kijana, sehemu inatoka ndonga ya binadamu unataka kushindana nayo wewe???