S speki JF-Expert Member Joined Dec 15, 2021 Posts 221 Reaction score 250 Aug 28, 2022 #21 Hivi humu hamnaga madaktari au watu na waliokutana na kesi kama hizo watoe muongozo nini cha kufanya au mtu aliponaje??
Hivi humu hamnaga madaktari au watu na waliokutana na kesi kama hizo watoe muongozo nini cha kufanya au mtu aliponaje??
Ninja assasin JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 2,512 Reaction score 5,848 Jan 20, 2024 #23 Yaani 24 unatumia puturuu sisi wa 40s tutumie nn Sasa? Dogo sio Kila kitu ni Cha kuiga ukifika kwanzia 35 above Kama uliyatumia hayo ma kitu sana utakua anithi (tohashi kwenye jumba la kifalme) hivi hivi unajiona na hamna kitu utafanya
Yaani 24 unatumia puturuu sisi wa 40s tutumie nn Sasa? Dogo sio Kila kitu ni Cha kuiga ukifika kwanzia 35 above Kama uliyatumia hayo ma kitu sana utakua anithi (tohashi kwenye jumba la kifalme) hivi hivi unajiona na hamna kitu utafanya