Nimeona tangazo pale Regency kwenye ubao limeandikwa "don't take alcohol during pregnancy" sasa sijui kwa tangazo hili mnaruhusiwa???
ni sawa lakinii nnachotaka mimi angalao kujua bas vinywaj ambavyo vinafaa during pregnancy..achilia mbali misoda
Jalibu mbege
mbege mjini inapatikana sasaa? kuna sehem moja kisongo kule inapatikana ya uhakika ila matajiri ndipo wanakimbilia hata ukienda hupati unarud kapa.
salaam ndugu zangu naomba kuwauliza madokta wa humu jamvini je kuna madhara yeyote kwa mjamzito kutumia amarula?
naomba pia kupata ushauri vinywaji gani naweza tumia visinidhuru mim namtoto sio juis chai wala maji plz vile vya kuchangamsha.pia nashindwa kunywa hata wine kwani naskia kuna nyingine sio nzuri kwa wajawazito sasa sijui ni zipi.Naomba kuwasilisha.
Mi sio dr lakini sikushauri upendelee kunywa mavinywaji yenye mfano wa pombe kali vyote sumu,pendelea kunywa vinywaji vya kawaida uongeze damu ata juice rebena safi tu,ktk kipindi cha ujauzito achana na mapombe makali
kila jumapili safarina bar kaloleni, inatokea huko huko kisongo, bonge ya mbege! na ndio anapeleka pia milestone.
hahaha aika mae basi acha niendelee tu na juice.ila ndo ivo nyama choma na juice ndo bas tena
asante ndugu..juice ndo kinywaj changu kikuu ila naomba kuuliza rebena inatengenezwa na matunda asilia ama ni squash tu?
Jalibu mbege
asante ma dia ntajitahid kuzingatia ubarikiwe kwa ushauri safi.
Ckumbuki vizuri km,ni squash ama ni matunda asilia ila nachojua mimi ni kinywaji safi kisichokuwa na madhara kwa wajawazito