ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,151
Salaam ndugu zangu,
Naomba kuwauliza madokta wa humu jamvini je kuna madhara yeyote kwa mjamzito kutumia amarula?
Naomba pia kupata ushauri vinywaji gani naweza tumia visinidhuru mimi na mtoto sio juisi chai wala maji plz vile vya kuchangamsha.
Pia nashindwa kunywa hata wine kwani naskia kuna nyingine sio nzuri kwa wajawazito sasa sijui ni zipi.
Naomba kuwasilisha.