georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Kula (au kunywa?) mtindi natural au Mlaso, uko hapo ameline?hahaha aika mae basi acha niendelee tu na juice.ila ndo ivo nyama choma na juice ndo bas tena
Haaahahaaa.... Babaangu umeua!!!!!!!!!!
usiniambie Nyamayao; basi kuna siku nilikua na ham ya mbege.nkaenda pale milestone ilikua kali kweli mpaka nkahis imewekwa kakonyagi kidogo nkaacha kabisaa.bas nkiwa na kiu tena ntajongea sarafina ndugu
Mkuu ameline Unywaji kidogo hauna madhara wakati wa ujauzito!
Unywaji kidogo ni ule ambao hauzidi glasi 3 hadi 7 za kilevi kwa wiki. Kwa maelezo zaidi cheki hii link!
Moderate Alcohol In Pregnancy Is Safe - Medical News Today
jaribu Sarafina kaloleni, ni kila jumapili, na mie jumapili sikosagi pale, kitimoto choma nashushia na mbege, imenipunguzia safari za njoro kwa kweli, hahaha bonge ya mbege hata jumapili ya juzi nilikuwa hapo tamu haswaa, ya milestone sijawahi kuinywa but pia kuna watu nimewasikia wakisema mbege yao sio, nikahisi wanafanya uchakachuaji coz wote milestone&sarafina wanachukulia mahali pamoja.
njoo uchukue mtoto miss chagga
njoo uchukue mtoto miss chagga
basi ngoja jumapili nijongee hapo utakaa upande gani nikuchungulie hahahaha
hahaha mwambie
Umemaliza miss chagga.ila ukizaa mlevi usije lalamika mwanangu cha pombe,.... me nijuavyo mjamzito anywi kilevi for the better health of her baby