Madhara ya Amarula

Madhara ya Amarula

Haaahahaaa.... Babaangu umeua!!!!!!!!!!

chamrminglady; hahaha wala hajaua kuke kijijini wajawazito wanagonga sana mbege ili kufanya maziwa yashuke na kuimarisha mwili et yaan kama wanaonyonyesha ndo usiseme hadi lita 5 mtu anagonga kwa siku.
 
usiniambie Nyamayao; basi kuna siku nilikua na ham ya mbege.nkaenda pale milestone ilikua kali kweli mpaka nkahis imewekwa kakonyagi kidogo nkaacha kabisaa.bas nkiwa na kiu tena ntajongea sarafina ndugu

jaribu Sarafina kaloleni, ni kila jumapili, na mie jumapili sikosagi pale, kitimoto choma nashushia na mbege, imenipunguzia safari za njoro kwa kweli, hahaha bonge ya mbege hata jumapili ya juzi nilikuwa hapo tamu haswaa, ya milestone sijawahi kuinywa but pia kuna watu nimewasikia wakisema mbege yao sio, nikahisi wanafanya uchakachuaji coz wote milestone&sarafina wanachukulia mahali pamoja.
 
basi ngoja jumapili nijongee hapo utakaa upande gani nikuchungulie hahahaha
 
basi ngoja jumapili nijongee hapo utakaa upande gani nikuchungulie hahahaha

nakaaga kule uwani, chibuku( wanatumia kata) kubwa 3000, ndogo 2000! karibu tujikumbushie kunyumba.
 
Huu ni ukichaa,mtu mjamzito bado anatamani pombe..ndo maana watoto wakizaliwa tayari wanakua wameshalaanika
 
wapi Mzizi makavu saidie huyu dada.
pia epuka mavipodozi ya kujichubua ni noma ukiwa mjamzito
 
Last edited by a moderator:
Utamzaa mtoto na chembe chembe za ulevii akija kua mlevi usilalamikee
 
nakaaga kule uwani, chibuku( wanatumia kata) kubwa 3000, ndogo 2000! karibu tujikumbushie kunyumba.

waooh basi kama wanatumia kata itakua tamu sana.utamu wa mbege kata bwana!
 
Back
Top Bottom