Madhara ya Amarula

Huu ni ukichaa,mtu mjamzito bado anatamani pombe..ndo maana watoto wakizaliwa tayari wanakua wameshalaanika

kichaa niwewe unaetokwa povu kwa kuropoka usiyoyajua.umelaaniwa wewe
 
nani kaendekeza pombe? soma na uelewe na vilevile ujifunze kutofautisha mlevi na mnywaji

Haya dada nimekupata. Samahani kwa kukukwaza but pumzika na Amarula hadi utakapojifungua. Mtendee haki huyo malaika tumboni
 
Subir ujifungue then itakuwa poa

asante kwa ushauri nimeuliza jamani nipate kujua coz ni mara yang ya kwanza so kama haifai baas naacha kutamani ntaendeleza juice kama kawaida
 
Haya dada nimekupata. Samahani kwa kukukwaza but pumzika na Amarula hadi utakapojifungua. Mtendee haki huyo malaika tumboni

sawa asante kwa kunielewa si kwamba mimi ni mlevi, hapana nlitaka kujua kama yapo madhara endapo nikinywa hata wine..ila kama yapo bas sioni sababu ya kutumia coz hata hivyo mm sio mpenz wa kilev
 
sawa asante kwa kunielewa si kwamba mimi ni mlevi, hapana nlitaka kujua kama yapo madhara endapo nikinywa hata wine..ila kama yapo bas sioni sababu ya kutumia coz hata hivyo mm sio mpenz wa kilev

Ndio yapo mengi sana. Please stay sober at least for now
 
Hongera sana mama kijacho ameline
 
Last edited by a moderator:
mbege mjini inapatikana sasaa? kuna sehem moja kisongo kule inapatikana ya uhakika ila matajiri ndipo wanakimbilia hata ukienda hupati unarud kapa.

Si kwamba ni matajiri tu ndo wanaopewa mbege huku kwa mawala olasite,bali ni kuwai kwako ndo unapata,hawabagui,ni,kwendana na wingi wa watu hupelekea mbege kuisha mapema,ila hawabagui.
 
Wewe si ulisema unaogopa?
tena ule kwa kipimo usije fumuka ukashindwa kupendeza baada ya kujifungua maji mengi mboga mboga yani nakutamania sema sijapata wa kunipa huyo mtoto
 
Amarula ni kilevi,hata mbege ina kilevi hakuna chenye unafuu hapo,maji na juice kwa mjamzito nadhani ni vinywaji tosha na juice ikiwa fresh ni nzuri zaidi,mbege unywe ukishajifungua ili kusaidia maziwa kutoka kwa wingi na sio sasa!
 
maziwa yenye kilevi si chanzo cha kumfanya mtoto awe mlevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…