Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kaendekeza pombe? soma na uelewe na vilevile ujifunze kutofautisha mlevi na mnywaji
Haya dada nimekupata. Samahani kwa kukukwaza but pumzika na Amarula hadi utakapojifungua. Mtendee haki huyo malaika tumboni
sawa asante kwa kunielewa si kwamba mimi ni mlevi, hapana nlitaka kujua kama yapo madhara endapo nikinywa hata wine..ila kama yapo bas sioni sababu ya kutumia coz hata hivyo mm sio mpenz wa kilev
kila jumapili safarina bar kaloleni, inatokea huko huko kisongo, bonge ya mbege! na ndio anapeleka pia milestone.
kichaa niwewe unaetokwa povu kwa kuropoka usiyoyajua.umelaaniwa wewe
mbege mjini inapatikana sasaa? kuna sehem moja kisongo kule inapatikana ya uhakika ila matajiri ndipo wanakimbilia hata ukienda hupati unarud kapa.
hebu mpe mkeo anywe halafu atanipa matokeo
tena ule kwa kipimo usije fumuka ukashindwa kupendeza baada ya kujifungua maji mengi mboga mboga yani nakutamania sema sijapata wa kunipa huyo mtoto
Amarula ni kilevi,hata mbege ina kilevi hakuna chenye unafuu hapo,maji na juice kwa mjamzito nadhani ni vinywaji tosha na juice ikiwa fresh ni nzuri zaidi,mbege unywe ukishajifungua ili kusaidia maziwa kutoka kwa wingi na sio sasa!
bado naogopa mpenzi ... ila kaumri kanakimbia rafiki yangu aliniambia niwe nasema napenda kuzaa sitakuwa nawoga tenaWewe si ulisema unaogopa?
wewewe thubutuu misschagga unaitiwa mtoto huko na mapi;