Madhara ya chumvi kwa mtoto anayenyonya

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
Msaada tafadhali,

Je, kuna madhara yeyote ya chumvi kwa mtoto anayenyonya, mwenye umri chini ya miez 6? Hii nimeikuta Ugweno hukoo, mama alojifungua anapewa chakula cha bila chumvi anaambiwa itamdhuru mtoto. Je, ni kweli inamdhuru mtoto au just bla bla?

MziziMkavu doctorz
 
kwa mimi nijuavyo. Chumvi unaumuimu sana kwa mtoto,kutokana na madini joto yaliyomo.
wataalamu wanashauri mtoto apewe chumvi kuliko sukari.Lakini usizidishe na wala isikole,weka kwa mbali sana
 
kwa mimi nijuavyo. Chumvi unaumuimu sana kwa mtoto,kutokana na madini joto yaliyomo.
wataalamu wanashauri mtoto apewe chumvi kuliko sukari.Lakini usizidishe na wala isikole,weka kwa mbali sana

asante mkuu.
 
Wazee wa kijijini wana wisdom yao ambayo wenyewe hawawezi kuelezea.

Chumvi inakatazwa kwa mtu mwenye presha. Kwa misosi ya ugweno nijuavyo mtu akitoka kujifungua, labda hiyo wanahofua presha tu.

Chumvi kiasi kwa mama ni muhimu kama sehemu ya virutubisho muhimu kila siku. Maziwa yamejikamilisha yenyewe haitegemei sana mama anakulaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…