Madhara ya dawa ya Zosec kwa mjamzito

Madhara ya dawa ya Zosec kwa mjamzito

From HEAVERN

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Jamani wakuu,

Naombeni mnisaidie: Dawa ambayo hutumiwa na watu wenye vidonda vya tumbo aina ya Zosec (Omeprazole) ina madhara yoyote kwa mjamzito?

Kama yapo, ni yapi?
 
Hilo hapo juu ndio jibu.

Pia usiitumie kwa muda mrefu. Kama tumbo linasumbua sana, nadhani ndani ya wiki 2 litakuwa na unafuu, hivyo inabidi uisitishe...
Jitahidi kuzingatia kanuni za ulaji ili tumbo lisisumbue sana ukajikuta unalazika kunywa dawa kwa mda mrefu.
 
Back
Top Bottom