Hilo hapo juu ndio jibu.
Pia usiitumie kwa muda mrefu. Kama tumbo linasumbua sana, nadhani ndani ya wiki 2 litakuwa na unafuu, hivyo inabidi uisitishe...
Jitahidi kuzingatia kanuni za ulaji ili tumbo lisisumbue sana ukajikuta unalazika kunywa dawa kwa mda mrefu.