Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nashukuru nimeona, nimeahirisha zoezi pia kwani nilitaka dawa ya kuongeza manyonyo tu....
bora ulivyoridhika na shape yangu ya samaki
najiulizaga hivi wakiongeza ukubwa na blood vessels na nerves huongezeka?Ha,ha,ha! Kuliko kuwa na ---- moja kubwa jingine dogo ni bora kuwa kama samaki. Hivi huwa hamjiulizi, mbona hao wachina ------ yao yako flat kama meza? Kwa nini hawayaongezi? Hii inahusisha na wanaopenda kuongeza matiti au kuyafanya yasilale. Lets leave the natural process to take place!