MADHARA YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIo

MADHARA YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII MWANAMKE AOZA MAKALIO YALIYOSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO

Adha hii imempata mwanamke huyu baada ya kuanza kuona ngozi yake imeanza kuwa laini kasi kwamba alianza kumomonyoka taratibu mwisho wa siku alijikuta ameoza wanawake wengi huwa wanajikuta wanaingia katika taabu hizi kwa kufuata mkumbo
 
Last edited by a moderator:
Hii mbaya sana,wote wanaojigeuza kuwa na maumbo kumbe ni pasi wote waoze kama mwenzao uyo.thanx mzizi mkavu!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.tamaa ya pesa ndio kigezo sasa kinachofata ni hichp mlichokiona
Mjulishe pia na rafk yako hata cololait ni zaidi ya hiyo picha uliyoiona.NAWASII DADA ZANGU MUBADILIK TAMAA HAIFAI .
 
bora ulivyoridhika na shape yangu ya samaki

Ha,ha,ha! Kuliko kuwa na ---- moja kubwa jingine dogo ni bora kuwa kama samaki. Hivi huwa hamjiulizi, mbona hao wachina ------ yao yako flat kama meza? Kwa nini hawayaongezi? Hii inahusisha na wanaopenda kuongeza matiti au kuyafanya yasilale. Lets leave the natural process to take place!
 
najiulizaga hivi wakiongeza ukubwa na blood vessels na nerves huongezeka?
 
Back
Top Bottom