kaburu mdogo JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 567 Reaction score 400 Nov 21, 2018 #1 Poleni kwa majukumu ya siku ya leo, naomba kujua madhara ya kunywa grand malt,maana kwa siku naweza kunywa tatu, naomba Na njia mbadala ya kuacha soda.
Poleni kwa majukumu ya siku ya leo, naomba kujua madhara ya kunywa grand malt,maana kwa siku naweza kunywa tatu, naomba Na njia mbadala ya kuacha soda.
TANZANIA NCHIYANGU JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 633 Reaction score 805 Nov 21, 2018 #2 Penda kunywa maji...badala ya kuagiza grand malt we agiza maji
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Nov 21, 2018 #3 Kila kitu kina madhara. Hata usipokunywa au kula tayari ni madhara. Alternative ya kuacha kunywa soda ni kuanza kunywa pombe.
Kila kitu kina madhara. Hata usipokunywa au kula tayari ni madhara. Alternative ya kuacha kunywa soda ni kuanza kunywa pombe.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Nov 21, 2018 #4 Niliacha soda kwa sasa nina miaka 2 napeta. Bangi ndiyo sijaacha.
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,784 Nov 21, 2018 #5 Viatu vya Samaki said: Niliacha soda kwa sasa nina miaka 2 napeta. Bangi ndiyo sijaacha. Click to expand... Bangi haina madhara, we endelea tu.
Viatu vya Samaki said: Niliacha soda kwa sasa nina miaka 2 napeta. Bangi ndiyo sijaacha. Click to expand... Bangi haina madhara, we endelea tu.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Nov 21, 2018 #6 Sawa mkuu. Mbimbinho said: Bangi haina madhara, we endelea tu. Click to expand...
Queenever JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,051 Reaction score 3,018 Nov 23, 2018 #7 Soda napunguza ila siachi,,yani nikinywa kwa mwezi moja Kuna shida gani??
fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 757 Nov 27, 2018 #8 hupelekea homa ya kisukari kwa sababu malt ni mixture ya glucose kwa glucose sasa ukinywa kwa wingi itapelekea kiwango cha sukari katika mwili kuzidi
hupelekea homa ya kisukari kwa sababu malt ni mixture ya glucose kwa glucose sasa ukinywa kwa wingi itapelekea kiwango cha sukari katika mwili kuzidi
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Nov 27, 2018 #9 hakuna kisicho na 'madhara' we kunywa tu ,
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Nov 27, 2018 #10 Mbimbinho said: Bangi haina madhara, we endelea tu. Click to expand... umenena vyema