kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Poleni kwa majukumu ya siku ya leo, naomba kujua madhara ya kunywa grand malt,maana kwa siku naweza kunywa tatu, naomba Na njia mbadala ya kuacha soda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi haina madhara, we endelea tu.Niliacha soda kwa sasa nina miaka 2 napeta.
Bangi ndiyo sijaacha.
Bangi haina madhara, we endelea tu.
umenena vyemaBangi haina madhara, we endelea tu.