Siku zote wanao watakuwa wakijiona ni second class, nyuma ya kina Cinderella wanaowaona kwenye movie. Siku zote watatamani kuwa kama wao.Siyo kweli. Kutojiamini kwa mtoto kinachangiwa kwa kiasi kikubwa na namna mtoto anavyotendewa ndani ya familia au jamii - mfano kama anaambiwa maneno makali makali kila siku: lione, hivi hili likoje? Yaani litoto hili! Hili litoto heri lisingezaliwa...! Maneno na matendo yanayomfanya mtoto ajione kila mara ni mbaya au amekosea ndiyo yanayomfanya awe na low-self image au low opinion of himself or herself. Mfano, watoto wangu wanaangalia educative cartoons kila siku na somehow wamejenga kujiamini kwenye kuongea lugha nk.
Movie zimekufanya usijithamini kabisa. Mtu mweusi kaadd vitu vingi duniani pengine kuliko jamii zote za watu.Kwani mtu mweusi ame-add value gani hapa Duniani ambayo ni significant hadi mtoto mdogo ajithamini kama mtu mweusi?
Hao watoto wasipojithamini kama watu weusi ni sahihi kabisa.
Tatizo ni kwamba watoto wanaweza kuiga wanachokiona - wakiona watu wanapigana na wao wakikutana na wenzao wanaanza kujaribisha walichokiona kwenye cartoons. Watoto wanatakiwa waangalie cartoons zinazowajenga na siyo zinazowafanya wawe violent kwa wenzao na ama kuona kila mara matukio ya vita na mauaji. That's bad for child behavioural development.Siku zote wanao watakuwa wakijiona ni second class, nyuma ya kina Cinderella wanaowaona kwenye movie. Siku zote watatamani kuwa kama wao.
Mimi siyo mpenzi wa movie.Kungekuwa na cha maana ambacho mtu mweusi ame-add hapa duniani ungekitaja.Hujataja kwa sababu hakipo.Movie zimekufanya usijithamini kabisa. Mtu mweusi kaadd vitu vingi duniani pengine kuliko jamii zote za watu.
Mbona wengine tunaangalia animation mpka leoKwa sisi waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu.
Hili linamfanya asijithamini kama mtu mweusi. Utafiti ulionyesha kuwa mtu pekee ambaye anaongeza kujithamini baada ya kuangalia movie na katuni ni mtoto wa kizungu, hasa mvulana wa kizungu. I thought you should know.
AhahahahahhahahaahahBasi mwanao awe anaangalia Bongomuvi dakika ya kwanza yapili watu wananyanduana yatatu jini kaingia yanne jambazi kamuuwa jini na muvi inaisha
Ova
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.Sijataja kwasababu ni karibu kila kitu.
Lea watoto wako vizuri acha kuzingizia cartoon kwenye malezi.Kwa sisi waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu.
Hili linamfanya asijithamini kama mtu mweusi. Utafiti ulionyesha kuwa mtu pekee ambaye anaongeza kujithamini baada ya kuangalia movie na katuni ni mtoto wa kizungu, hasa mvulana wa kizungu. I thought you should know.