Madhara Ya kijitoa Fahamu

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
379
......Mkiambiwa UnderDog muwe mnaelewa.
Shafiii ndo Mchambuzi Bora Tanzania... Tatizo mashabiki wengi Majuha na Hawajuhi chochote zaidi ya Upuuzi... Wanapenda kusikia maneno matamu matamu Hata Kama ni Uongo.
....HII NDO Hali Halisi ya Simba SC..

Hakuna Team Duniani iliyowahi chukua Ubingwa kwa Kuwa na misemo mizuri.... Eti Yes We Can... Team inachukua ubingwa kwa Kusajili wachezaji wa Maana na mikakati mikubwa..
Ajabu Sana... Team ichukue Ubingwa Africa kwa Blah blah.

Tubadilike Jamani..... Dunia iko mbali Sana Now.... Mpira ni Science kubwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachambua au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…