Vijana walio wengi wamejikita katika biashara ya kuendesha Pikipiki ili kuweza kujipatia kipato. Vijana hawa wanafanya kazi hiyo tangu asubuhi hadi usiku kucha.
Dr. naomba kujua; Je, uendeshaji wa Pikipiki kwa muda mrefu pasipo tahadhali ya mavazi rasmi kujikinga baridi na vumbi yaweza kuleta janga la vifo kwa hao waendesha pikipiki na kusababisha kupungua/kupoteza kwa nguvu kazi katika taifa letu?
Kama kuna ukweli katika hili, Serikali ambayo ina dhamana ya watu wake,inashauriwa ichukue hatua zipi ili kukinga balaa hili ambalo hivi karibuni litapiga hodi katika maisha ya hawa vijana?