Madhara ya kufanya mapenzi kila siku

Sasa kufanya sana ndiyo kupi Inna? Maana wengine wanacheza kwa siku mara tatu hadi tano kama zile siku ambazo mgeni hayupo. Sasa namna hii ni kufanya sana?

Eee hapo hapo wanasema mwanamke ukifanya sana unazeeka
Ila haitakiw kuzid buana kwa kias tu ndo unakua mrembo
 
Ok Mkuu labda hili la chakula cha kubabia babia lilichangia, lakini kama unakamata msosi wa uhakika milo mitatu kwa siku hili haliwezi kutokea.
Ngoja wiki ijayo nianze kufyatua tena
 
Reactions: BAK
Sasa kufanya sana ndiyo kupi Inna? Maana wengine wanacheza kwa siku mara tatu hadi tano kama zile siku ambazo mgeni hayupo. Sasa namna hii ni kufanya sana?
Hivo hvo mara 3 kwa siku halafu kila siku uyo atazeeka tu afu huko chini kutachoka
Mara 3 afu watu tofauti au?
 
Reactions: BAK
Acha upige goli tatu bila shaka shughuli zake si za kawaida. Unataka tu kuendelea kujirusha. Umenichekesha hapo eti watuma picha instagram na kubinua kiuno hahahahaha lol!

Huyu ndiye anaweza muziki wengine kazi kupost picha Instagram na kubinua viuno kumbe hawana lolote.
 
Mimi nadhani hili la watu kuwa tofauti ni point kubwa sana na pia kujitunza ikiwemo kula vizuri pia.

Hivo hvo mara 3 kwa siku halafu kila siku uyo atazeeka tu afu huko chini kutachoka
Mara 3 afu watu tofauti au?
 
Jamani, watalaam wa haya mambo, toka nioe, sijawahi kumaliza siku 3 bila kugegeda labda awe safari, na period, yake kuna madhara gani ?
Mkuu imekuwa dozi nini inaonekana una nguvu sana utafikiri unacheza zile zetu pi--la-- mimi ningekua mkeo ningeruhusu ukapige nje mana sio kwa kuumizana hukoo
 
Mkuu imekuwa dozi nini inaonekana una nguvu sana utafikiri unacheza zile zetu pi--la-- mimi ningekua mkeo ningeruhusu ukapige nje mana sio kwa kuumizana hukoo
Wivu,visu vyaweza tumika
 
Ni ulafi tu. Hapo mke hana jinsi anakukubalia tu kwasababu ni wajibu wake kama mke. Lakini ashki kwake imepungua...unampondaponda kila siku K haina muda wa kupumzika na kukumiss, mwisho wa siku utamgegeda akiwa mkavu madhara anapata yeye K inawahi kupwelepweta.
Na mwisho wa siku hamu ya mke ya kudu inaondoka halafu uje umlaumu baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…