BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Sasa kufanya sana ndiyo kupi Inna? Maana wengine wanacheza kwa siku mara tatu hadi tano kama zile siku ambazo mgeni hayupo. Sasa namna hii ni kufanya sana?
Eee hapo hapo wanasema mwanamke ukifanya sana unazeeka
Ila haitakiw kuzid buana kwa kias tu ndo unakua mrembo