Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Mkuu Mzizimkavu darasa zuri sana,vipi kuhusu mwanaume ambaye hajaoa kwa sababu uchumi mbovu,na pia hapendi zinaa,nini madhara yake kiafya?
Kutofanya zinaakusaidia kutopatwa na wewe maradhi.Ila haifai kupiga punyeto kuna madhara makubwa katika kupigapunyeto mkuu@BOWTHRUSTER
 
Ukipiga goli 3 kwa usiku mmoja na ukimuwezesha mwenzi wako kufika kileleni inatosha mkuu Pawaga
 
Last edited by a moderator:
Ukipiga goli 3 kwa usiku mmoja na ukimuwezesha mwenzi wako kufika kileleni inatosha mkuu Pawaga

Umesema wanaume wanaobadili wanawake ndio wako kwenye risk hizo!!!!
Anayepiga wanawake wawili goli tatu kila mmoja mara moja kwa wiki na wewe wa goli sita kwa wiki kwa mwanamke mmoja mna tofauti gani???!!!
 
Last edited by a moderator:
mpwa namadhara ya kutofanya maana wengine nikinyume chake wanapewa kama dawa za dulucolax 1*1 kwa siku mbili kwa wiki..embusaidia na hawa wanajisaidiaqje namadhara yake
 
madhara hawapati wanawake wanaopendao la ndoa kwa waume zao madhara unapata wwe mwananmue kwa sababu unatumianguvu nyingi ukifanya kila wakati tendo la ndoa mkuu mtoto halali na hela
loh

mpwa umenikumbusha ninawiki shemejio nampandisha juu akimaliza naminamalizia namaliza naehukojuu kuanzakusuguana uwiii tunasaga dona??
 
Ukipiga goli 3 kwa usiku mmoja na ukimuwezesha mwenzi wako kufika kileleni inatosha mkuu Pawaga

Goli3 kwa usiku mmoja week nzima au daily? Nadhani kwa week goli 5-7 za tosha na hizo zitimie kwa mpangilio wa leo keshokutwa yaani kuruka siku! Ila 3 tu kwa week ni chache!
 
Last edited by a moderator:
mpwa namadhara ya kutofanya maana wengine nikinyume chake wanapewa kama dawa za dulucolax 1*1 kwa siku mbili kwa wiki..embusaidia na hawa wanajisaidiaqje namadhara yake


MADHARA YA KUTOFANYA MAPENZI KABISA.

Nijuavyo Mimi binafsi Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa

nguvu. Akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni

pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa

wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa

kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.Mkuu.Pdidy
 
Goli3 kwa usiku mmoja week nzima au daily? Nadhani kwa week goli 5-7 za tosha na hizo zitimie kwa mpangilio wa leo keshokutwa yaani kuruka siku! Ila 3 tu kwa week ni chache!
Ukiweza piga goli 3 kwa usiku mmoja. ufanye hivyo kwa wiki mara 3 tosha. yaani kila baada ya siku 3 kama unaweza.mkuu CHAZA
 
Last edited by a moderator:

mpwa tuache utani unawatoaga machozi watu kwenye ndoa zao nadhani Mungu akisahau kukubariki akawabariki wanaona wajukuu zako kama na wazazi wapo pia
 
mpwa kuna hii nimeisoma hapa jamvini nisaidie nayo inasemaje

[h=2]Kuwa na Wapenzi wengi kunapunguza uwezekano wa kuugua Tezi Dume[/h]
Wadau,

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu wa Chuo kikuu cha Montreal, Canada, ni kuwa mwanaume ambaye ameshiriki tendo la ndoa na wanawake kuanzia ishirini na kuendelea ni nadra sana kuugua ugonjwa wa Saratani ya Tezi dume.

Lakini kwa upande wa wanaume mashoga, wao wapo kwenye hatari kubwa zaidi ya kuupata ugonjwa huu. Sababu kubwa inayotajwa kusababisha hali hii kwa mashoga ni kuwa wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maumivu kwenye tezi dume kutokana na msikusuko unaotokea wakati wa tendo pindi wanapokuwa wanafanya mapenzi haya (athari zipo kwa muingizwaji).

Kati ya mwaka 2005 na 2009 wanaume wapatao 3208 walishiriki utafiti uliofanywa na Taasisi inayojishughulisha na maradhi ya Saratani na kati yao wanaume 1590 waligundulika kuwa na Saratani hii ya Tezi dume.

Utafiti huu ulichapishwa kwenye Jarida la "Cancer Epidemiology".

Marie-Elise Parent, aliyeongoza jopo la watafiti alisema kuwa hii isiwe sababu ya wanaume kuhamasika kuwa na wapenzi wengi.

Pia utafiti huu umeweka wazi kuwa wanaume ambao hawashiriki kabisa tendo la ndoa wako kwenye hatari, mara mbili zaidi ya kawaida kuugua gonjwa hili hatari.

Tafiti zilizotangulia pia zilitanabaisha kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza uwezekano wa kuugua Saratani ya Tezi Dume kwa kuwa husaidia kupunguza mrundikano wa wadudu visababishi vya Saratani (carcinogenic crystal-like substances) kwenye tezi dume.

My Take:

Kwa wanaume: Je mwenendo wako unakuweka hatarini au kwenye usalama dhidi ya Tezi dume?
Wamama na wadada, ukiombwa tunda ujue mwenzio anahitaji kinga dhidi ya Saratani. Hivyo msiwe wachoyo.
Na kidume ukiona kila unapoomba tunda unakataliwa basi ujue mwenzio anataka uugue tezi dume.

Kinga ni bora kuliko tiba.


Men who have sex with more than 20 women during the course of their lifetimes are less likely to be diagnosed with prostate cancer, new research shows.



But for homosexuals who have had sex with at least 20 men and virgins, the risk of being diagnosed is doubled, the researchers from the University of Montreal have found.

However, the researchers found that homosexual men who have had at least 20 sexual partners, were twice as likely to to develop prostate cancer compared with those in monogamous relationships.


Compared with men who have had just one sexual partner, men who have slept with 20 or more women have a 28 per cent lower risk of being diagnosed, and are 19 per cent less likely to develop the most aggressive form of prostate cancer.


Homosexual men were also five times more likely to develop a less serious form of the disease than those with only one male partner.


The "highly speculative" hypothesis to explain this increased risk for homosexual men is that there is a heightened risk of picking up a sexually transmitted disease and "physical trauma" to the prostate from anal intercourse.


Between 2005 and 2009, 3208 men participated in the Prostate Cancer & Environment Study and were asked to give information about their lifestyles and sexual experiences.

In this time frame, 1590 men who participated in the study were diagnosed with prostate cancer..


The research, published in the journal Cancer Epidemiology, is the first of its kind to make a link between the number of sexual partners and the risk of developing cancer.


Lead researcher Marie-Elise Parent said that, despite the results, she did not see a need for public health authorities to encourage men to have sex with as many women as possible.


"It is possible that having many female sexual partners results in a higher frequency of ejaculations, whose protective effect against prostate cancer has been previously observed in cohort studies," Dr Parent said The research found that men who had never had sexual intercourse, were twice as likely to be diagnosed with prostate cancer.


Prior studies have indicated sexual intercourse might help reduce the risk of prostate cancer because it lowers the concentration of carcinogenic crystal-like substances in the fluid of the prostate.


"We were fortunate to have participants from Montreal who were comfortable talking about their sexuality, no matter what sexual experiences they have had, and this openness would probably not have been the same 20 or 30 years ago," Dr Parent said. "Indeed, thanks to them, we now know that the number and type of partners must be taken into account to better understand the causes of prostate cancer."



Sex with more than 20 women helps reduce prostate cancer: study

Mapendo,
TANMO.
 
My Take:

Kwa wanaume: Je mwenendo wako unakuweka hatarini au kwenye usalama dhidi ya Tezi dume?
Wamama na wadada, ukiombwa tunda ujue mwenzio anahitaji kinga dhidi ya Saratani. Hivyo msiwe wachoyo.
Na kidume ukiona kila unapoomba tunda unakataliwa basi ujue mwenzio anataka uugue tezi dume.

Kinga ni bora kuliko tiba.



nimeipenda hii hapo juu ....ununue kava ya simu kabla ya kununua simu

shidaaaaa ...nyie mnaotoa 1 MARA 1 KWA SIKU MBILI NDANI YA WIKI MNATENGENEZA CANCER KWA WENZENU KAMA SIO NYIE WENYEWE PIA
 
Asante mkuu kwa elim uliyo itoa mimi mwenyewe napenda sana hako kamchezo nitapunguza

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakutokufanya mapenzi kuna madhara sasa tusimame upande upi ikiwa hata kufanya mapenzi kuna madhara
 

Hizi mbili naona zinanohusu, ingawa hiyo ya magonjwa bado. Itabidi nizibe UFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…