Madhara ya kukimbia hesabu..naombeni kueleweshwa kuhusu hii invoice

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
3,334
Reaction score
7,651
Chochote utakacho kielewa kwenye hii picha naomba unielezee
 
Kwani nawewe hujaelewa chochote mkuu

Ndo nilichoona, haijulikani kipi kimezidishwa na kipi, kipi kimejumlishwa au kutolewa na kipi, hizo currency convention hazieleweki nani kambadili nani.
 
duh jibu murua....
 
Kuna I'd moja imeanzisha thread halafu nyingine imejibu. (sio mbaya nayo ni mbinu ya kutafuta masoko naona mmeweka na namba)
Ulitaka wakuweke wewe? Watanzania hivi hizi tabia za kishenzy zitatuisha lini!? Mtu kaomba msaada hajaelewa alichokutana nacho, mtoa msaada kapatikana, usiyeelewa lolote imekuwa nongwa. Hama uswahilini upate mwanga wa maisha.
 
Chochote utakacho kielewa kwenye hii picha naomba unielezee
View attachment 1012798
Mi sijasoma uhasibu per se ila ntakuelezea kwa kutumia hio item kwenye row ya kwanza.(ABSOLUTE BLUE 100CL)
Hizo described items ni pombe, packs ni idadi ama cartons, case idadi ya bia katika cartons zote means carton 12 zina jumla ya bia 200. Unit USD/CTN ni bei ya mauzo kwa kila chupa moja kwenye carton. Total ni bei ya mauzo ya jumla ya bia zote kwenye cartons zote 12. Kuipta utachukua 200x unit price ambayo ni $94.00! Jibu litakuja hio $18,800
 
Umejitahidi kuelez ila umesahau kuwa huwezi kuwa na total cost mbili kwenye invoice ile ya mwisho ni amount due.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi huyo aliendika invoice kakosea kidogo. CASE = CTN. Hivyo kama aliamua kusema CASE then hiyo column nyingine ingetakiwa kuwa UNIT (USD/CASE)
 
Aliyeandaa invoice ndio kakosea, Mimi nimemuelezea mtoa mada kama invoice ilivyo ili aweze kunielewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako umenisaidia sana..
Lakini nasikitika kuna jamaa pale juu kasema kuna id moja imeanzisha thread alafu nyingine imekuja kujibu...sasa sielewi sijui alitaka nisijibiwe sisi waafrika mbona tuna roho mbaya hivi
 
Ulitaka wakuweke wewe? Watanzania hivi hizi tabia za kishenzy zitatuisha lini!? Mtu kaomba msaada hajaelewa alichokutana nacho, mtoa msaada kapatikana, usiyeelewa lolote imekuwa nongwa. Hama uswahilini upate mwanga wa maisha.

Mpuuze huyo bwana
 

Angalia hapo kwenye jack daniel mkuu pananichanganya kidogo
 


Ukipata muda naomba usome hapo kwenye jack daniel pananichanganya hapo kwenye pack48 na total case32...
 
maana yake kunywa bia tatu upewe dola 81,077.20 bureeeeeeeeeeee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…