Madhara ya kukimbia hesabu..naombeni kueleweshwa kuhusu hii invoice

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
3,334
Reaction score
7,651
Chochote utakacho kielewa kwenye hii picha naomba unielezee
IMG_20190204_011442_272.JPG
 
Kwani nawewe hujaelewa chochote mkuu

Ndo nilichoona, haijulikani kipi kimezidishwa na kipi, kipi kimejumlishwa au kutolewa na kipi, hizo currency convention hazieleweki nani kambadili nani.
 
Hiyo ni hesabu ndogo sana ndugu,
Hiyo invoice inatolewa na wauzaji wa bidhaa nje ya kwenda nchi nyingine mfano inaweza mzigo ukawa umenunuliwa nchini China kuja Tanzania.
Nitaelezea kwa kifupi
Kwenye hilo jedwali Kuna colum ya
Bidhaa(item), Pack, Total case, Unit, Total (USD). Sasa nikianza na
1.Item hii ni bidhaa husika iliyonunuliwa pale kwenye jedwali inaoneshwa kwa namba
2. Pack hii ni idadi ya paketi kwa bidhaa husika.
3. Total case hii ni jumla ya paketi kwa kila bidhaa.
4. Unit per case hii ni Bei ya kila case au paketi ya bidhaa
5. Total (USD) hii ni jumla ya gharama ambayo inapatikana kwa kuchukua
Total case unazidisha na Unit Price
Yani Total (USD)=Total case×Unit Price
6. Total USD hii inapatikana kwa kujumlisha Total USD kwa kila row.
7. Freight hii ni gharama ya usafirishaji kutoka nchi iliyouza mzigo kwenda nchi alipo mteja
8. Inaonesha huyo mteja alilipa advance hivyo kupata Total USD kachukua
Total USD + Freight-Advance.

Invoice ya namna hiyo huwa maalumu kwa mizigo inayokuja kwa njia ya meli kupitia bandarini, hivyo Kama invoice ni ya kwako hapo Kuna mambo mengi unatakiwa kuyafahamu kuhusu namna gani unaweza kutoa mzigo wako bandarini.

Kwa maelezo zaidi usisite kututafuta

IKUMO Clearing and Logistics Ltd,
Nkhurumah street,
LIDA House, Third Floor.
Dar es salaam.
Phone: 0624004050 both call/WhatsApp
Karibu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
duh jibu murua....
 
Kuna I'd moja imeanzisha thread halafu nyingine imejibu. (sio mbaya nayo ni mbinu ya kutafuta masoko naona mmeweka na namba)
Ulitaka wakuweke wewe? Watanzania hivi hizi tabia za kishenzy zitatuisha lini!? Mtu kaomba msaada hajaelewa alichokutana nacho, mtoa msaada kapatikana, usiyeelewa lolote imekuwa nongwa. Hama uswahilini upate mwanga wa maisha.
 
Chochote utakacho kielewa kwenye hii picha naomba unielezee
View attachment 1012798
Mi sijasoma uhasibu per se ila ntakuelezea kwa kutumia hio item kwenye row ya kwanza.(ABSOLUTE BLUE 100CL)
Hizo described items ni pombe, packs ni idadi ama cartons, case idadi ya bia katika cartons zote means carton 12 zina jumla ya bia 200. Unit USD/CTN ni bei ya mauzo kwa kila chupa moja kwenye carton. Total ni bei ya mauzo ya jumla ya bia zote kwenye cartons zote 12. Kuipta utachukua 200x unit price ambayo ni $94.00! Jibu litakuja hio $18,800
 
Hiyo ni hesabu ndogo sana ndugu,
Hiyo invoice inatolewa na wauzaji wa bidhaa nje ya kwenda nchi nyingine mfano inaweza mzigo ukawa umenunuliwa nchini China kuja Tanzania.
Nitaelezea kwa kifupi
Kwenye hilo jedwali Kuna colum ya
Bidhaa(item), Pack, Total case, Unit, Total (USD). Sasa nikianza na
1.Item hii ni bidhaa husika iliyonunuliwa pale kwenye jedwali inaoneshwa kwa namba
2. Pack hii ni idadi ya paketi kwa bidhaa husika.
3. Total case hii ni jumla ya paketi kwa kila bidhaa.
4. Unit per case hii ni Bei ya kila case au paketi ya bidhaa
5. Total (USD) hii ni jumla ya gharama ambayo inapatikana kwa kuchukua
Total case unazidisha na Unit Price
Yani Total (USD)=Total case×Unit Price
6. Total USD hii inapatikana kwa kujumlisha Total USD kwa kila row.
7. Freight hii ni gharama ya usafirishaji kutoka nchi iliyouza mzigo kwenda nchi alipo mteja
8. Inaonesha huyo mteja alilipa advance hivyo kupata Total USD kachukua
Total USD + Freight-Advance.

Invoice ya namna hiyo huwa maalumu kwa mizigo inayokuja kwa njia ya meli kupitia bandarini, hivyo Kama invoice ni ya kwako hapo Kuna mambo mengi unatakiwa kuyafahamu kuhusu namna gani unaweza kutoa mzigo wako bandarini.

Kwa maelezo zaidi usisite kututafuta

IKUMO Clearing and Logistics Ltd,
Nkhurumah street,
LIDA House, Third Floor.
Dar es salaam.
Phone: 0624004050 both call/WhatsApp
Karibu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitahidi kuelez ila umesahau kuwa huwezi kuwa na total cost mbili kwenye invoice ile ya mwisho ni amount due.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi huyo aliendika invoice kakosea kidogo. CASE = CTN. Hivyo kama aliamua kusema CASE then hiyo column nyingine ingetakiwa kuwa UNIT (USD/CASE)
 
Aliyeandaa invoice ndio kakosea, Mimi nimemuelezea mtoa mada kama invoice ilivyo ili aweze kunielewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako umenisaidia sana..
Lakini nasikitika kuna jamaa pale juu kasema kuna id moja imeanzisha thread alafu nyingine imekuja kujibu...sasa sielewi sijui alitaka nisijibiwe sisi waafrika mbona tuna roho mbaya hivi
 
Ulitaka wakuweke wewe? Watanzania hivi hizi tabia za kishenzy zitatuisha lini!? Mtu kaomba msaada hajaelewa alichokutana nacho, mtoa msaada kapatikana, usiyeelewa lolote imekuwa nongwa. Hama uswahilini upate mwanga wa maisha.

Mpuuze huyo bwana
 
Mi sijasoma uhasibu per se ila ntakuelezea kwa kutumia hio item kwenye row ya kwanza.(ABSOLUTE BLUE 100CL)
Hizo described items ni pombe, packs ni idadi ama cartons, case idadi ya bia katika cartons zote means carton 12 zina jumla ya bia 200. Unit USD/CTN ni bei ya mauzo kwa kila chupa moja kwenye carton. Total ni bei ya mauzo ya jumla ya bia zote kwenye cartons zote 12. Kuipta utachukua 200x unit price ambayo ni $94.00! Jibu litakuja hio $18,800

Angalia hapo kwenye jack daniel mkuu pananichanganya kidogo
 
Hiyo ni hesabu ndogo sana ndugu,
Hiyo invoice inatolewa na wauzaji wa bidhaa nje ya kwenda nchi nyingine mfano inaweza mzigo ukawa umenunuliwa nchini China kuja Tanzania.
Nitaelezea kwa kifupi
Kwenye hilo jedwali Kuna colum ya
Bidhaa(item), Pack, Total case, Unit, Total (USD). Sasa nikianza na
1.Item hii ni bidhaa husika iliyonunuliwa pale kwenye jedwali inaoneshwa kwa namba
2. Pack hii ni idadi ya paketi kwa bidhaa husika.
3. Total case hii ni jumla ya paketi kwa kila bidhaa.
4. Unit per case hii ni Bei ya kila case au paketi ya bidhaa
5. Total (USD) hii ni jumla ya gharama ambayo inapatikana kwa kuchukua
Total case unazidisha na Unit Price
Yani Total (USD)=Total case×Unit Price
6. Total USD hii inapatikana kwa kujumlisha Total USD kwa kila row.
7. Freight hii ni gharama ya usafirishaji kutoka nchi iliyouza mzigo kwenda nchi alipo mteja
8. Inaonesha huyo mteja alilipa advance hivyo kupata Total USD kachukua
Total USD + Freight-Advance.

Invoice ya namna hiyo huwa maalumu kwa mizigo inayokuja kwa njia ya meli kupitia bandarini, hivyo Kama invoice ni ya kwako hapo Kuna mambo mengi unatakiwa kuyafahamu kuhusu namna gani unaweza kutoa mzigo wako bandarini.

Kwa maelezo zaidi usisite kututafuta

IKUMO Clearing and Logistics Ltd,
Nkhurumah street,
LIDA House, Third Floor.
Dar es salaam.
Phone: 0624004050 both call/WhatsApp
Karibu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukipata muda naomba usome hapo kwenye jack daniel pananichanganya hapo kwenye pack48 na total case32...
 
Back
Top Bottom