THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Habari,
Wengi mlifurahia hasa Simba kugomea Ile game ila ukweli kama Simba alikua anaelewa yupo katika michuano Gani?
Na anataka Nini? Simba angecheza ila game...Ile Derby mi naamini ndio ilikua kipimo sahihi Cha Simba kuelekea game ya Jana, simba alikua anahitaji game kama Ile ya Derby yenye ujazo wa Hali ya Juu kujipima kuelekea Deby badala yake Simba akakimbia game akaenda kucheza game ya mwisho Vs Big Man Yani Tuseme Simba alijipima currently kupitia Match ya Bigman serious???
Simba angecheza vs Yanga naamini Kuna Makosa ya Jana yasingefanyika...Camara Asingeanza na Ali Salim angekua vizur kucheza Jana maana angekua amecheza Derby..
Mtaendelea kuyaona Madhara.