Madhara ya kukosa usingizi kiafya

Madhara ya kukosa usingizi kiafya

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Wakuu msaada wenu iwapo mtu atakosa usingizi kutokana na mawazo atakuwa na dalili zipi mwilini kwake???

Natanguliza shukrani za dhati kwenu!!!
 
Nashauri ili usaidiwe vizuri ungeweka wazi mawazo gani yanakusumbua?
Ukijibu hilo kiufasaha watu watajuwa pa kuanzia!
 
Back
Top Bottom