Martine18012002
Member
- Jul 21, 2022
- 10
- 11
📌 Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke
Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya kiafya.
🔴 Dalili za Kukosa Ute Katika Kizazi:
1️⃣ Ukavu ukeni, hasa wakati wa tendo la ndoa
2️⃣ Maumivu au usumbufu wakati wa kushiriki tendo la ndoa
3️⃣ Kuwashwa na muwasho ukeni
4️⃣ Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
5️⃣ Maambukizi ya mara kwa mara kwenye via vya uzazi
⚠️ Madhara ya Kukosa Ute Katika Kizazi:
❌ Maumivu sugu wakati wa tendo la ndoa
❌ Hatari kubwa ya maambukizi ya uke
❌ Ugumu wa kupata ujauzito
❌ Kuwashwa na muwasho wa mara kwa mara
❌ Kupunguza furaha na kujiamini katika mahusiano
🛑 Ikiwa unakabiliwa na tatizo hili, usisite kutafuta ushauri wa daktari kwa tiba sahihi! Hama piga 255-719196408
🔎 MARTINEMUSHIHEALTHCARE | WE CURE WITH CARE AND HEALTH IS WEALTH
#AfyaYaUzazi #AfyaYaMwanamke #HealthIsWealth #M
artineMushiHealthcare