Madhara ya kukosa Ute wa Ovulation

Joined
Jul 21, 2022
Posts
10
Reaction score
11
πŸ“Œ Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke

Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya kiafya.

πŸ”΄ Dalili za Kukosa Ute Katika Kizazi:
1️⃣ Ukavu ukeni, hasa wakati wa tendo la ndoa
2️⃣ Maumivu au usumbufu wakati wa kushiriki tendo la ndoa
3️⃣ Kuwashwa na muwasho ukeni
4️⃣ Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
5️⃣ Maambukizi ya mara kwa mara kwenye via vya uzazi

⚠️ Madhara ya Kukosa Ute Katika Kizazi:
❌ Maumivu sugu wakati wa tendo la ndoa
❌ Hatari kubwa ya maambukizi ya uke
❌ Ugumu wa kupata ujauzito
❌ Kuwashwa na muwasho wa mara kwa mara
❌ Kupunguza furaha na kujiamini katika mahusiano

πŸ›‘ Ikiwa unakabiliwa na tatizo hili, usisite kutafuta ushauri wa daktari kwa tiba sahihi! Hama piga 255-719196408

πŸ”Ž MARTINEMUSHIHEALTHCARE | WE CURE WITH CARE AND HEALTH IS WEALTH

#AfyaYaUzazi #AfyaYaMwanamke #HealthIsWealth #M
artineMushiHealthcare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…