Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii hapa chini
Source : ABC News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm
Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:
Je wewe ni mpenzi wa kitimoto?, fikiria tena.
Source : ABC News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm
Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:
Je wewe ni mpenzi wa kitimoto?, fikiria tena.
Mimi pia ni mtaalamu wa samaki. Samaki ndiyo wanyama wanaoongoza kuwa na minyoo zaidi kuliko yoyote. Hii inatokana na nature ya habitat yake anayoishi. Ni aquatic na medium nzuri ya Platyhelmiths, Nemotodes and ringworma kibao. Sidhani kama wewe Hofstede huli samaki. Samaki huwa hapimwi na Verts. Labda wa Ikulu!
La msingi wewe ndugu ni kuwa mwangalifu. Just observe hygenic standards by eating well cooked foods and hygenically handled.
Lakini pia usisahau kuwa Kuna worms wanakuwa transmitted by insects. Hawa worms wanahitaji well aerated water, kwa hiyo target hapa ni Morogoro, Mbeya na Lushoto kwenye milima inayotiririsha maji hivyo kuyafanya yawe na oxygen kibao. Hawa wanabababisha blindness. Upofu wenyewe hasa! fortunately strain tuliyonayo East Africa haisababishi upofu na hakuna anayejua sababu! Ile ya West Africa ni balaa! Kuna vijiji wote ni vipofu! Mdudu anaitwa Oncocercus volvus.
Anyway, kuna minyoo kibao kibao na si ajabu about a third ya wana JF wako infected. Check with your physician.
Take home message: Always peleka information in a three dimension orientation. siyo kwa matakwa yako.
Last edited by a moderator: