Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Mi naomba kuuliza, hivi ngurue anachinjwa shingo kama wafanywavyo ng'ombe au mbuzi, nk?

Wanapigwa nyundo kwanza kichwani halafu wanakata shingo kuanzia nyuma!
Nguruwe hana shingo km ya ng'ombe au mbuzi unamkata kuanzia kisogoni!
Sehemu ambayo mbuzi na ng'ombe wana koromeo shingoni basi ndipo mdomo wa nguruwe ulipo!
 
Yani kitimoto na bia ni dawa ya ukimwi. Tule na tunywe kwa wingi tuitokomeze ngoma duniani.

We unadhani kila mtu mzinifu kama wewe!
We endelea tu kujidanganya! Siku ya kukuzika maiti yako ule mfuko wa rambo unatosha kabisa kukusafirishia!
 
Vitu vitamu tamu vina matatizo
Ngono
Nguruwe
Ngano
Ngumu kuacha ila ndio hivyo busy f'*^*ng yaself
 
Wanapigwa nyundo kwanza kichwani halafu wanakata shingo kuanzia nyuma!
Nguruwe hana shingo km ya ng'ombe au mbuzi unamkata kuanzia kisogoni!
Sehemu ambayo mbuzi na ng'ombe wana koromeo shingoni basi ndipo mdomo wa nguruwe ulipo!

anayechinjwa shingoni huwa akuwa hajafa?
 
Mi naomba kuuliza, hivi ngurue anachinjwa shingo kama wafanywavyo ng'ombe au mbuzi, nk?


Mungu keshawaonyesha kuwa hafai mana hata shingo ya kuchinja tu hana, tofauti kabisa na wanyama wengine km ngomb, mbuzi, kuku n.k

nasikia wanamlima shoka la nguvu eti ndio kachinjwa
 
Nimeipenda hii mada hasa ulivyo ichambua nyama ya nguruwe Kiafya lakini nasikitika sitafanyia kazi mafunzo niliyoyapata

bora ww umesema kweli mvaa tai, japo hutaicha lkn ujue si nzuri kwa afya yako na familia yako..km una wtt usiwape kula mwenyewe mvaa tai
 
 
Yaani nishapiga kilo moja hapa.... Halafu hii kitu hata ikipandishwa bei si tunatwanga kimya kimya... Sasa ngoja ipandishwa ile ya ng'ombe usikie wa kwa mama mdogo wanavyolalama
 
Padre akamwambia Shekh "Wewe hujui unachokikosa"

Shekh naye akamjibu Padre.. Naona wewe ndio haswaa hujui unachokikosa!
 
kwa upande wa biblia kuna nyakati saba ambazo wanadamu waliishi na kuendelea kuishi, kukatazwa kura nguruwe ilikuwa wakati wa sheria yaani torati, kwa sasa tupo nyakati ya neema baada ya Yesu kufanyika kuwa mwokozi wa wanadamu, hivyo kipindi hiki cha neema kila kitu ni sawa kukitenda kama hakikufanyi utende dhambi yaani kumkosea Mungu.
 


Kwani nyama huwa zinaliwaga mbichi?si zinapikwa au kuchomwa?kwanini hujajaribu nyama ya mbuzi/ngombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…