mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
Mi naomba kuuliza, hivi ngurue anachinjwa shingo kama wafanywavyo ng'ombe au mbuzi, nk?
Kamusi.... Unavyosema masuala ya kuifanyia experiment kabla ya kuipika kwani umesikia watu wanailaga ikiwa mbichi!!!? Labda nkuulize ushawahi pia kuifanyia nyama ya ngombe au mbuzi experiment kabla ya kuipika ukaona result zake!!!? By the way tangu lini nyama ikalowekwa na soda... Embu usituletee habari zenu za vijiweni hapa
mbona kule wanakopinga ulaji wa hii nyama ndio kuna maliberali sana, hii inaakaje jomba?Nyie ndio tunawaita WAGALATIA!
Kazi yenu ni kupinga andiko!
Halafu mkuu hapo juu amesahau kuwa nyama ya kiti moto inadhoofisha kabisa dushelele!
Si ndio maana unakuta nchi nyingi zinazotumia kitimoto kwa wingi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya WALIBERALI!
Sasa we endelea kupenda hivyo unavyoita vinono!
Sasa hivi utaanza kupaka wanja na rangi za modomo!
Teh teh teh teh!
Nani alie kuambia Uzinzi ni bora? Vyote kwapamoja havifai kwa mujibu wa vitabu vyetu vitakatifu.haram kwako dhahabu kwa wengine imani inawafanya watu wanajidanganya.sasa kipi bora kati ya uzinzi na nyama ya nguruwe?!!!!!!
Yesu akasema, ``Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? [SUP]17[/SUP]Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? [SUP]18 [/SUP]Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. [SUP]19[/SUP]Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.....MT 15:16-19
Nguruwe ambapo katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.
Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.
Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.
Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.
Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.
Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.
Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo
kabisa Taenia Saginata ya ngombe.
KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).
KWA UPANDE WA BIBILIANguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
Pia nimsikia kuwa nyama ya nguruwe ndio inaingoza kwa kusababisa magonjwa mengi ya kansa
na pia hivo vijidudu vilivopo kwenye nyama ya nguruwe hata vipikwe vipi havifi vinahamia kwenye mwili wa anayekula hiyo nyama na kumea huko
Yesu akasema, ``Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? [SUP]17[/SUP]Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? [SUP]18 [/SUP]Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. [SUP]19[/SUP]Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.....MT 15:16-19
Umefunga mjadala!
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.
okey ndo maana nasikia mombasa kuko hivyo na pembanyie ndio tunawaita wagalatia!
Kazi yenu ni kupinga andiko!
Halafu mkuu hapo juu amesahau kuwa nyama ya kiti moto inadhoofisha kabisa dushelele!
Si ndio maana unakuta nchi nyingi zinazotumia kitimoto kwa wingi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waliberali!
Sasa we endelea kupenda hivyo unavyoita vinono!
Sasa hivi utaanza kupaka wanja na rangi za modomo!
Teh teh teh teh!
As per knowledge dini zote ni viutarataibu waliojifanyia wanadamu kwa ajili ya kumtafuta Mungu. 1 unauhakika kale kautaratibu kenu mliojifanyia ili kumtafuta Mungu ndiko ka kweli ukilinganisha ni viutaratibu vingine? 2 je una uhakika kuwa ninyi (ndani ya dini yenu)nyote hamtumii hii kitu?Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.
Yesu alikuja bwana, asingekuja sheria zingeendelea kutawalaUmefunga mjadala!
Wakati wa mwezi mtukutu mbona zinashuka bei??????????? au huu ni uongo wanajamvi? Mwezi mtukutu nenda Kilombero, Lindi, Tunduru nk utakuta wachagga walia machozi.
Mi naomba kuuliza, hivi ngurue anachinjwa shingo kama wafanywavyo ng'ombe au mbuzi, nk?
Kwani samaki anachinjiwa shingoni au kiunoni??
Ile kitu ni "MBUZI MTAKATIFU"..haiwezi chinjiwa shingoni............
guu huvunjika!!!!!!...asiyesikia la mkuu??????????