Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Kamusi.... Unavyosema masuala ya kuifanyia experiment kabla ya kuipika kwani umesikia watu wanailaga ikiwa mbichi!!!? Labda nkuulize ushawahi pia kuifanyia nyama ya ngombe au mbuzi experiment kabla ya kuipika ukaona result zake!!!? By the way tangu lini nyama ikalowekwa na soda... Embu usituletee habari zenu za vijiweni hapa

we si ujaribu zote za mbuzi na hiyo matope uone majibu mwenyewe...hiyo si nyama ni takataka eti ni sawa na kula kinyesi, that is true whether you like it or not...
 
Nyie ndio tunawaita WAGALATIA!
Kazi yenu ni kupinga andiko!
Halafu mkuu hapo juu amesahau kuwa nyama ya kiti moto inadhoofisha kabisa dushelele!
Si ndio maana unakuta nchi nyingi zinazotumia kitimoto kwa wingi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya WALIBERALI!
Sasa we endelea kupenda hivyo unavyoita vinono!
Sasa hivi utaanza kupaka wanja na rangi za modomo!
Teh teh teh teh!
mbona kule wanakopinga ulaji wa hii nyama ndio kuna maliberali sana, hii inaakaje jomba?
 
"Kisha akawaambia kimwingiacho mtu si najisi bali kimtokacho, na kwa kusema hivyo alivitakasa vyakula vyote"
Kitimoto ni moja ya vyakula vilivyotakaswa moja kwa moja, na tuile ili kujenga na kuimarisha miili yetu.
 
mlaaniwe mnaotaka chafua nyama yetu tamu.! ukila kitmoto hata majini hayakufuati!
 
yapo makosa machache ya spelling na usahihi wa kitaalam kwa mfano andika Fasciolosis na sio Fasciolopsis na kama ulihitaji kuandika jina lake la kisayansi ungeandika Fasciola buski na scientific names zote huwa italized au underlined. Minyoo mingi na hizo parasite kama Balantidium inapatikana kwa wanyama wengine pia na inapopatikana katika meat inspection affected organs huwa zinakuwa condemned na kama si hivyo ile nyama ikichemshwa sana au kuwa frozen at ultra freezing temp hufa. Mfano ng'ombe ana Taenia saginata ambaye madhara yake ni kama Taenia solium wa nguruwe kwa maana hufanya cyst kwa final host (carnivores na humans). kiimani.....ngamia hana kwato lakini anacheua mbona mwakula...vipi kuhusu sungura pia? katika agano jipya ilishawekwa sawa kwamba usiite kharam alichoumba Mungu na kharam ni kile kimtokacho mtu si kimuingiacho. Kama nyie hamli, waacheni wanaokula wale kwa raha zao. Nawashangaa sana kula nguruwe inakuwa unforgivable sin lakini mzinzi au mchawi au fisadi anaweza kupewa hata uimam lakini si mla nguruwe...why? ni wivu tu kwa vile mnajua utamu wa hii nyama.
 
haram kwako dhahabu kwa wengine imani inawafanya watu wanajidanganya.sasa kipi bora kati ya uzinzi na nyama ya nguruwe?!!!!!!
Nani alie kuambia Uzinzi ni bora? Vyote kwapamoja havifai kwa mujibu wa vitabu vyetu vitakatifu.
 
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.
 

Nguruwe ambapo katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.
Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.

Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.

Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.
Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.

Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.

Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo
kabisa Taenia Saginata ya ng’ombe.



KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).


KWA UPANDE WA BIBILIA
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao” wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 – 8).

Pia nimsikia kuwa nyama ya nguruwe ndio inaingoza kwa kusababisa magonjwa mengi ya kansa

na pia hivo vijidudu vilivopo kwenye nyama ya nguruwe hata vipikwe vipi havifi vinahamia kwenye mwili wa anayekula hiyo nyama na kumea huko




Yesu akasema, ``Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? [SUP]17[/SUP]Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? [SUP]18 [/SUP]Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. [SUP]19[/SUP]Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.....MT 15:16-19
 
Yesu akasema, ``Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? [SUP]17[/SUP]Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? [SUP]18 [/SUP]Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. [SUP]19[/SUP]Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.....MT 15:16-19

Umefunga mjadala!
 
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.

Kula shwain na kuua ipi afadhali. Mungu aendelee kuwarehemu wakenya waliouwawa bila hatia
 
nyie ndio tunawaita wagalatia!
Kazi yenu ni kupinga andiko!
Halafu mkuu hapo juu amesahau kuwa nyama ya kiti moto inadhoofisha kabisa dushelele!
Si ndio maana unakuta nchi nyingi zinazotumia kitimoto kwa wingi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waliberali!
Sasa we endelea kupenda hivyo unavyoita vinono!
Sasa hivi utaanza kupaka wanja na rangi za modomo!
Teh teh teh teh!
okey ndo maana nasikia mombasa kuko hivyo na pemba
 
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.
As per knowledge dini zote ni viutarataibu waliojifanyia wanadamu kwa ajili ya kumtafuta Mungu. 1 unauhakika kale kautaratibu kenu mliojifanyia ili kumtafuta Mungu ndiko ka kweli ukilinganisha ni viutaratibu vingine? 2 je una uhakika kuwa ninyi (ndani ya dini yenu)nyote hamtumii hii kitu?
 
Wakati wa mwezi mtukutu mbona zinashuka bei??????????? au huu ni uongo wanajamvi? Mwezi mtukutu nenda Kilombero, Lindi, Tunduru nk utakuta wachagga walia machozi.

Taifiti zinaonesha wakati wa mwezi mtukutu maduka yanayouza Noah wanapata hasara kwa kukosa walaji..
 
Back
Top Bottom