Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

kama huli kitimoto ni bora pia usile na nyama nyingine pia kama kuku, n'gombe, mbuzi au kondoo coz nao wanabeba magonjwa mengi tu.

so kutokula nyama moja wakati nyingine unafakamia ni unafiki tu.

halafu, ume-assume kama huyo kitimoto tunamla akiwa mbichi. kwa jinc ninavyojua, kitimoto huwa kinapikwa muda mrefu sana. kwanza kinachemshwa, then kukaangwa and kama ni rosti wanakiunga fresh.

so najiuliza hayo ma-pathogens yanaweza kusurvive kweli kwenye moto wa muda mrefu kama huo.

kitimoto ni tamu acheni kabisa babangu........
 
Inataka moyo kususia mlo kama huu ebu tuacheni jamani kama ni maradhi wazungu wangeshatoweka katika uso wa dunia.















Mkuu ni wapi inapatikana hii kitu....im starving! Picha zinahamasisha sana
 
Nawasikitikia sana ndugu zangu wasio kula

Mkuu sasa naanza kuamini kwanini Seminary na shule za Kanisa zinaongoza kwenye mitihani ya kitaifa... Kumbe kule wanafuga kitowewo hiki kitakatifu...
 
Mkuu sasa naanza kuamini kwanini Seminary na shule za Kanisa zinaongoza kwenye mitihani ya kitaifa... Kumbe kule wanafuga kitowewo hiki kitakatifu...

Hiki chakula kitakatifu kinapandisha İQ. Kuleni kwa wingi. Wapeni na watoto wenu wawe fast learners.
 

Sawa kitabu kimekataza,lakini kuna ndugu zenu wengi katika imani wanapiga hii kitu.
Ushauri: Kila mwislamu alishe yamini,akila tu afe. Mia
 
Mkuu sasa naanza kuamini kwanini Seminary na shule za Kanisa zinaongoza kwenye mitihani ya kitaifa... Kumbe kule wanafuga kitowewo hiki kitakatifu...

Wasio ila unaona IQ zao zilivyo ndogo?
 
Arusha zipo sehemu nyingi ya kwanza.

1. Hunters club maeneo ya Sakina.

2. Apache maeneo ya Philips.

3. Kiti moto club mkabala na Primer hotel Makao mapya.

Hizo sehemu usipime wanatengeza kitu cha ukweli.

Wiki mbili zilizopita nilikuwa Dar maeneo ya Kijichi panaitwa kontena wako juu sana.

Wapenzi wa kiti moto au mbuzi katoliki tupeana taarifa za sehemu mbali mbali wanapotengeneza kiti moto cha ukweli.


Mkuu ni wapi inapatikana hii kitu....im starving! Picha zinahamasisha sana
 
Mkuu ni wapi inapatikana hii kitu....im starving! Picha zinahamasisha sana

Kama upo dar njoo ubungo bus stand ingia kama unaenda ubungo hostel mbele kidogo. Mie nipo hapa nasubiri iive nibebe nikale na familia.
 
Juzi kati tulikuwa kwenye kongamano la watuumiji wa hii kitu mdau mmoja akatoa pendekezo kwamba watokee tena kundi lingine apart from Muslims na wasabato wakatae kula ili tubaki wachache tuendelee kutusua kwa raha zetu! Kama hukupata kula hii maneno na ungali hai na huna shida ya kutafuna nakushauri uitafute kabla hujafa...
 

Uroho unakusumbua tu hakuna kingine!
 
KITI MOTO NI TIBA KAMA IFUATAVYO
* Kama CD4 zako ziko chini ya 200,mnyama huyu atakusaidia sana.
* kwa kutumia nyama hii ni dhahiri kuwa upo salama na majini,mapepo,mizimu na ushirikina mwingine.
* kama unatatizo la kuwa na mbegu sizizo na nguvu kwa wanaume,pia kama ni nyepesi na chache,basi nyama hii itakuhakikishia protini ya kutosha,ukiweza pata korodani zake.
* kama kuna mlevi na unataka aache pombe,basi mvizie amelewa mpe kikombe cha maziwa ya nguruwe,ataacha pombe hapo hapo.mpe huduma ya kwanza mara baada ya kutapika nyongo.
Kila la kheri
 

Mkumbushe pia kuwa dawa nyingi za kuongeza nguvu za kiume zinauzwa misikitini sijui ni kwa sababu wanakula sana kitimoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…