Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Nimekuelewa kaka, nilitaka kukumbusha tu kuwa reference zako ulizotumia kujustify hoja yako hazikuwa sahihi sana ila zilikufaa kwa ajili ya maslahi binafsi na ndo maana nikaibeua.

ah ah ah ah...! Naelewa kile ninacho kijadili, na kuhusu nilicho kiandika nakielewa kuliko unavyo fikiria. Hoja hapa ni nguruwe...! Sasa kwa kuwa unataka mabishano ndo maana ukapelekea kwenye wanyama wengine.

Biblia imekataza mambo mengi sana, kwa kuwa wewe unapenda vile ambavyo vimekatazwa unaona kama ni uonevu... that why unatafuta visingizio.

Ukitaka tujadiri kuhusu ngamia na mengineo mlango upo wazi...!

Tukubaliane hili kwanza, yakupasa uelewe kwa nini bibilia imekataza kula na kuguza mizoga ya nguruwe. Tukisha maliza na kujuwa sababu then bibilia itupe majibu na kutufahamisha kama kuna mitume na manabii walikula au hata kutumia bidhaa zilizo tokana na nyama ya nguruwe.

Kisha tutakuja kuangalia huyo ngamia unayemtaka tumjadili.
 
...and the pig, for though it divides the hoof, thus making a split hoof, it does not chew cud, it is unclean to you. 8 ‘You shall not eat of their flesh nor touch their carcasses; they are unclean to you.
Leviticus 11:7-8

Mpendwa X-Paster, asante kwa neno.

Naomba usome hili lifuatalo kwa makini

Mambo ya Walawi 11:1-8
Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi. Kila mnyama MWENYE KWATO KATIKA MIGUU YAKE, MWENYE MIGUU YA KUPASUKA KATI, MWENYE KUCHEUA, KATIKA HAYAWANI, HAO NDIO MTAKAO WALA.Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; NGAMIA, kwa sababu yu-acheua lakini hana kwato, yeye ni NAJISI kwenu. Na WIBARI, kwa sababu yeye hucheua lakin hana kwato, yeye ni NAJISI kwenu. Na SUNGURA, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni NAJISI kwenu. Na NGURUWE, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni NAJISI kwenu.
Msiile nyama yao wala msiguse mizoga yao; hao ni NAJISI kwenu.


Mie ninachofahamu ni kuwa ndugu zetu waislamu mnakula NGAMIA. Je Ngamia na Nguruwe wana tofauti gani?

Mpendwa XP, ukishanijibu hili swali, ndio nitakueleza sababu za baadhi ya wakristo kula Nguruwe.

Ninakutakia yote mema.

(Mchungaji Ladslaus)
 
Nimefuatailia hoja zenu zote pamoja na mabishano. Naomba nichangie kidogo kwa hili:
1. Ni kweli nguruwe ni mnyama mtamu nami namla lakini manufaa yake kimwili ni madogo na yuko risk kwa magonjwa mengi. Manufaa yake kimwili ni madogo kwa sababu yeye si Herbivores (yaani si mla majani), YEYE NI OMNIVORES kama sisi binadamu. Katika energy level sisi ni tertiry consumers, herbivores (ng'ombe, mbuzi n.k.) ni secondary consumers. sasa tertiary consumers kula tertiary consumers mwenzake ni sawa sawa na kutopata kitu. Ndio maana ni bora kwa sisi kula majani kula nyama!!!
2. Suala la minyoo si kwa nguruwe tu, chakula chochote kisichotayarishwa vizuri kiko kwenye risk ya kulete minyoo. Ni watu wengi sana wanapata minyoo kwa kula chips na mishikaki!!! pia bila kusahau kachumbari!! Kabichi ni chanzo kikuu cha minyoo...

Ansanteni
 

Nadhani hata wewe hujanielewa...! Hapa anajadiliwa Nguruwe na bidhaa zinazotokana na nguruwe. Sasa wewe ukiwa ni mlaji wa nyama ya nguruwe ni wewe na afya yako.

Ni wewe ndiye unapaswa kuwafahamisha watu kwa nini unakula nguruwe na si kuusingizia kuwa wakristo wameruhusiwa kula nguruwe.

Kwa taarifa yako yapo madhehebu ya kikristo yasio kula nyama ya nguruwe.

Tukishamaliza haya ya nguruwe mnaweza kufunguwa thread ya kuzungumzia nyama zingine i.e Ngamia n.k.

Ladslaus wewe ni mtaalam na ni mwelewa, Je waweza kutufahamisha kutoka kwenye biblia kuhusu huyu mnyama nguruwe, Je manabii na mitume na watu watukufu waliomo kwenye biblia waliwahi kumla na kutumia bidha zake ikiwemo ngozi n.k

Naomba tuzingatie hili
Msiile nyama yao wala msiguse mizoga yao; hao ni NAJISI kwenu...

Katika wanyama walio pigwa marufuku... Ni yupi aliendelea kufugwa na kuliwa na bidhaa zake kutumiwa... Maana imeandikwa kuwa msiiguze mizoga yao.

NB:Tupatiwe pia sababu za kiafya na kitabibu.
 
Haka kanyama kamekuwa kakiliwa sana tangu zamani, wazee wetu walikuwa wanakula sana tu na walikuwa wanaishi maisha marefu tu kuliko sie kabla waarabu hawajakakataza eti ukila hufiki mbinguni!. Hebu, naomba nukuu za maandiko yayolikataza chakula hiki kwenye Quran. Naona wasiokula wanatumia kitabu wasichokiamini kuharamisha chakula hicho!
 


Bab-kubwa!
Umejizolea heshima kwa kuona na kukubali kwamba ulikosea. Ingekuwa kinyume chake iwapo ungepuuzia.

Hofstede amepuuza kujibu hoja na baadhi ya maswali yaliyoelekezwa kwake. Kwa sababu hiyo, hoja ya yeye kuonekana mwongo inaendelea kupata nguvu.





Mwanjelwa nina mashaka na hiyo 55 Celcius. Sijui unazungumzia wanyama gani. Binadamu kwa mfano, anaweza kukaa kwenye hali ya joto ya nyuzi 70 hata zaidi, kwa saa mbili (kwenye sauna kwa mfano).




Mwanjelwa amesisitiza usafi. Kama ambavyo imejadiliwa, kuna mambo kadhaa ya kuzingatiwa ili kuepuka kupata minyoo iliyotajwa.

  1. Zingatia sana usafi.
    Nawa mikono baada ya kutoka chooni, na usile chakula kilichotayarishwa na mtu asiyenawa baada ya kutoka chooni.
    Usinye au kutupa kinyesi chako kwenye banda la nguruwe.
    Usijitapishe, kwani mayai ya "adult pork tapeworms" yatarudi tumboni.

  2. Epuka kula nyama ya nguruwe (au ya mtu) ambayo haikuiva vizuri (undercooked pork/human steak). Vinginevyo utapata "adult tapeworms" ambao watakwenda kukaa kwenye utumbo mwembamba. Huko watataga mayai ambayo yatatoka pamoja na kinyesi.
    ("Adult tapeworms" hawezi kuingia kwenye mfumo wa damu).

Ukila mayai ya "adult tapeworms", mayai ambayo hupatikana kwenye kinyesi au matapishi, upo uwezekano yakaanguliwa baada ya wewe kuyala na hapo kuweza kuingia kwenye mzunguko wa damu, na kusambaa kwenye misuli, moyo, macho, uti wa mgongo na ubongo.




.
 

Hakuna mtu aliyetumia kitabu kuharamisha "pork" Ila kama umesoma vizuri issue imeanzia kwenye scientific facts ambazo wataalam wanasema kutokana na (cysts) kuishi kwenye "pork tissue" huenda ndiyo sababu hata vitabu vitakatifu vikamkataza mwanadamu kumtumia mnyama huyu. Kumbuka kila kitu huendana na afya.

Sasa wewe ukitaka Quran na vitabu vingine vitumike ili kuharamisha pork unataka kuelekea kwenye league ya religion ambako huko itakuwa ni vigumu sana kufikia muafaka kutokana na kila mtu kuwa na imani yake. kitu ambacho unatakiwa kujua ni kwamba

1. Kula nguruwe siyo ibada kama ambavyo unataka kufanya kwamba wakristo wameruhusiwa kula nguruwe mimi ninaamini si kweli

2. Kutaka ushahidi kutoka Quran wewe unaelekea kusiko kwani vitabu vyote vya mwenyezi mungu havikuruhusu huyu mnyama kuliwa (Iwe injili, tourati, zaburi au Quran)

Unachopaswa kufahamu ni kuwa wanasayansi wamehundua kuwa Nguruwe anaishi na viini vingi sana vya minyoo kwenye mwili wake na hivyo kumfanya mtumiaji kuwa kwenye hatari kubwa ya kupatwa na minyoo hiyo ambayo inaweza kuishi katika sehemu yoyote ya mwanadamu iwe (usoni, tumboni kwenye brain, kwenye macho, kwenye viungo vya uzazi n.k).

Hivyo ni kuchukua tahadhari na matumizi ya "Mnyama".
 
Hii mada ni muhimu sana kwa ajili ya afya zetu. Kwanza niseme kwamba kwa wale wanaoamini kuhusu uumbaji (Kama huamini habari ya uumbaji isikupe shida sana), ni kwamba Mungu alimpa mwanadamu chakula kwa ajili ya kula (Vegetarian diet). Hiki ndicho chakula cha awali kabisa ambacho Mungu alikusudia kiwe chakula cha mwanadamu. Hata hivyo, baada ya gharika, kwa kuwa mimea na miti iliangamizwa na maji, nyama iliruhusiwa. Pamoja na kuruhusiwa kwa nyama, Mungu alitofautisha wanyama safi (Wanaopaswa kuliwa) na wasio safi (wasiostahili kuliwa). Hii ni kwa aina zote za viumbe wa nchi kavu, Wadudu, ndege na viumbe wa baharini. Hii maana yake ni kwamba Mungu alijua athari za kula vyakula ambavyo sio safi kiafya. Sayansi ya leo imethibitisha hilo.

Najua maswali mengi yataulizwa hapa, lakini kwanza niwakaribishe tusikilize hii presentation kwenye hii link http://www.discoveries08.org/episode-14-high-quality
Au tembelea kiunganishi hiki na uende kwenye Episode 14 http://www.discoveries08.org/schedule ambapo unaweza ku-download au kuchagua kusikiliza kwenye high quality au low quality. Majibu ya maswali mengi kuhusu vyakula na vinywaji utayapata kwa usahihi kabisa tena uliothibitishwa kisayansi na kidini pia.

Nitarudi tena tuendelee kujadiliana.
 
Last edited:

Ngereja, Ngereja, Ngereja, subiri kaka, taratibu!!

Huwezi kuweka mahubiri ya Mchungaji wa kwenye runinga hapa na tamthiliya za Nuhu na the big gharika halafu unakimbia unasema "wasioamini Mungu isiwape shida sana."

Unataka kuonyesha kwamba umewaandikia wanaomini Mungu tu, kwa hiyo ondoa neno "sayansi" hapo. Hamna sayansi kwenye mahubiri!!!
 
Unata kuonyesha kwamba umewaandikia wanaomini Mungu tu, kwa hiyo ondoa neno "sayansi" hapo. Hamna sayansi kwenye mahubiri!!!

Sikusema wanasayansi hawaamini Mungu, wako wanasayansi wengi tu wanaomini Mungu
Nadhani ungesikiliza kwanza mpaka mwisho ndiyo uamue kama nilichoweka kina mantiki katika mjadala huu au la, na kama neno sayansi linafaa au la.
 
Sikusema wanasayansi hawaamini Mungu, wako wanasayansi wengi tu wanaomini Mungu
Nadhani ungesikiliza kwanza mpaka mwisho ndiyo uamue kama nilichoweka kina mantiki katika mjadala huu au la, na kama neno sayansi linafaa au la.

Mkuu Ngeleja

huyu jamaa KUHANI ni kwamba huwa hasomi wala kusikiliza anataka kutafuniwa tu(Nimegundua anachofanya ni kuchungulia na kuona wapi atapata point ya kukupinga kwenye paragraph ya mwanzo basi), ila tusimlaumu huenda memory limit ya ISP wake haimruhusu yeye anataka "slope" (dy/dx). Ila nimesikiliza clip mkuu jamaa amechambua vizuri sana kisayansi.
 
 
Ahsante Hofstede,
Tuendelee kujadiliana, maana hapa ni suala la Afya zetu. Kuna mambo mengi ya kiafya ambayo huwa hatuyatilii maanani.
 
Last edited:
Kwa hiyo Kuhani asiporudi mjadala umekufa, are you guys obssessed with Kuhani?!!

Ahsante Hofstede,
Naamini Kuhani akifanikiwa kusikiliza atarudi tuendelee kujadiliana, maana hapa ni suala la Afya zetu. Kuna mambo mengi ya kiafya ambayo huwa hatuyatilii maanani.
 

Wewe mwanjelwa

angalia usijetolewa "FATWA". Hii story ilikuwepo toka zamani na ni uzushi mkubwa sana na kwa taarifa yako hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kuhalalisha au kuharamisha kitu bali ni mwenyezi mungu pekee. Maandiko yote yanayokataza "pork" yametoka kwa mwenyezi mungu.

"He has only forbidden you dead meat, and blood, and the flesh of swine, and any (food) over which the name of other than Allah has been invoked. But if one is forced by necessity, without wilful disobedience, nor transgressing due limits, then Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful."


Nafikiri wewe unataka kuufanya mdala uelekee kusiko "Ila ni juu yako kujua kuwa scientific studies zimeprove kuwa pork is not safe for human health" Hayo mengine yote ni blah blah zisizo na ukweli. Kama unaweza ku-cite aya katika Quran inayosema unayoyaamini basi nipo tayari kukubaliana na wewe.
 
Kwa hiyo Kuhani asiporudi mjadala umekufa, are you guys obssessed with Kuhani?!!

Mama! Mjadala utaendelea, maana hii ni forum ya jamii.
 
Mama! Mjadala utaendelea, maana hii ni forum ya jamii.


Okay, kwa hiyo rekebisha sentensi yako ya akifanikiwa kusikiliza mahojiano then arudi muendelee kujadiliana au ondoa hilo jina hapo.
 
Okay, kwa hiyo rekebisha sentensi yako ya akifanikiwa kusikiliza mahojiano then arudi muendelee kujadiliana au ondoa hilo jina hapo.

Hakuna matata Mama! imerekebishwa, tuendelee na majadiliano!
 


Nimekuelewa vizuri tu. Kwamba umekosa la kuchangia kisayansi ukaamua kutumia Biblia ambayo umekoti yale ambayo unaona yanakufaa na yale yanayokushushua ukayaacha.
 
Nimekuelewa vizuri tu. Kwamba umekosa la kuchangia kisayansi ukaamua kutumia Biblia ambayo umekoti yale ambayo unaona yanakufaa na yale yanayokushushua ukayaacha.

Sizzla Kalonji, Praise Ye Jah

Ay! you no see dem a ting dat from di Bible
Tink I no know you're amongst those who instigate slavery against my people (Yeh!)
Only quote a few psalms so dat you could have to come we.
We have a knowledge you know, we done perceive
(Woy!)
From start to finish
I have to outline de fact
Is not Sunday
Is Saturday we fi hold de Sabbath

Praise Ye Jah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…