X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Nimekuelewa kaka, nilitaka kukumbusha tu kuwa reference zako ulizotumia kujustify hoja yako hazikuwa sahihi sana ila zilikufaa kwa ajili ya maslahi binafsi na ndo maana nikaibeua.
ah ah ah ah...! Naelewa kile ninacho kijadili, na kuhusu nilicho kiandika nakielewa kuliko unavyo fikiria. Hoja hapa ni nguruwe...! Sasa kwa kuwa unataka mabishano ndo maana ukapelekea kwenye wanyama wengine.
Biblia imekataza mambo mengi sana, kwa kuwa wewe unapenda vile ambavyo vimekatazwa unaona kama ni uonevu... that why unatafuta visingizio.
Ukitaka tujadiri kuhusu ngamia na mengineo mlango upo wazi...!
Tukubaliane hili kwanza, yakupasa uelewe kwa nini bibilia imekataza kula na kuguza mizoga ya nguruwe. Tukisha maliza na kujuwa sababu then bibilia itupe majibu na kutufahamisha kama kuna mitume na manabii walikula au hata kutumia bidhaa zilizo tokana na nyama ya nguruwe.
Kisha tutakuja kuangalia huyo ngamia unayemtaka tumjadili.