Jamani nashukuru wataalam wote mliochagia mada hii critically. Nimepata fundisho lenye evidence maana nimekuwa nikisikia habari za minyoo wa nguruwe but sikuwa nimepata details. Pia kuna mtu aliniambia kuwa ukichukua a coke or pepsi ikimwagia nyama ya nguruwe utaona inatoa funza, sijui kama ni kweli maana sijajaribu. Nikipata wasaa nitajaribu kuona ukweli wake. Na wewe mlaji nakusihi ujaribu then uje hapa jammvini utuhabarishe yatokanayo. Huyu mbuzi Katolika/Mkuu wa Meza huwa namla japo si mara kwa mara. Samahani mimi sifungamani na imani za mnyama huyu, ninafahamu "kiingiacho si najisi bali kitokacho". Wote wanaokula tuwaheshimu na wale imani au afya zao zinawazuia wasile nyama tamu hii basi wa reserve comments zao ili kuleta harmony hapa. Thanks for your contributions.Bravo.