Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Nguruwe ambapo katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.
Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.

Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.

Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.
Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.

Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.

Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo
kabisa Taenia Saginata ya ng’ombe.

KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

KWA UPANDE WA BIBILIA
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao” wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 – 8).

Peleka imani zako potovu zilizopitwa na wakati huko. Inamaana wewe unayejifanya hauli hiyo mbuzi

takatifu una afya kuliko sisi tunao kula? Hakuna watu wanaokula huyo mbuzi mnono kama wachina

na ndio wanaoongoza kuishi muda mrefu duniani. Kwa wazungu halikadhalika. na tafiti zinaonyesha

kuwa mkoa wa kilimanjaro ndio unaongoza kuwa na wazee wengi Tanzania hii inamaanisha

wanaishi muda mrefu sana na halina ubishi kwamba kule kitimoto ni chakula cha kiasili kabisa. Sasa

ngoja nikufumbue macho kidogo usiwe unaamini tuu kila kilichoandikwa kwenye kitabu cha dini na

kukichukua mutatis mutandis inabidi uangaishe akili yako kujua maana ya kila andiko kama lina

nafasi kwenye tamaduni zetu au kwa wakatii huu. Mfano matumizi ya ubani @ uvumba kenye ibada

za kiislam na kikristu hayo yalikuwa ni matambiko ya kiasili ya watu wa midle east ambako dini hizo

ziliznzia. Suala la nyama kama yalivyo baadhi y makabila ya kiafrika kutokula aina fulani ya nyama

ndivyo ilivyokuwa kwa makabila ya waarau na waisraeli hapo kale (dark ages) na halina uhusiano

wowote na imani wala kiafya. Hao manabii waliandika hivyo vitabu na kuchananya na mambo ya

utamaduni yao ambayo hayana uhusianu wowote na imani. Mambo mengine ya

kitamaduniyaliyopo kwenye vitabu vitakatifu ni pamoja na uzaaji wa kanzu, namna ya kukaa

kwenye nyumba za ibada,Nafasi ya mwanamke na mabo kadha wa kadha. hivyo ndugu yangu

kama unatamani kula unono huo alioumba Mungu kwa ajili ya wanadamu kula tuu usitishwe na mila

na desturi za watu
 
Wasabato mna kazi sana!

Unachanganya imani na vitisho vya magonjwa kama vile wote wauguao magonjwa hayo wamekula kitimoto!?? Angalia tafiti ujue ukweli! ...na ukweli utawaweka huru..!

Imeandikwa, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.." Sijui kifungu!
 
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako
 
Mleta mada amenikumbusha,ngoja leo niandae kitimoto yangu hapa safi na katonge pembeni.Hayo mengine mtajua huko.
 
Peleka imani zako potovu zilizopitwa na wakati huko. Inamaana wewe unayejifanya hauli hiyo mbuzi

takatifu una afya kuliko sisi tunao kula? Hakuna watu wanaokula huyo mbuzi mnono kama wachina

na ndio wanaoongoza kuishi muda mrefu duniani. Kwa wazungu halikadhalika. na tafiti zinaonyesha

kuwa mkoa wa kilimanjaro ndio unaongoza kuwa na wazee wengi Tanzania hii inamaanisha

wanaishi muda mrefu sana na halina ubishi kwamba kule kitimoto ni chakula cha kiasili kabisa. Sasa

ngoja nikufumbue macho kidogo usiwe unaamini tuu kila kilichoandikwa kwenye kitabu cha dini na

kukichukua mutatis mutandis inabidi uangaishe akili yako kujua maana ya kila andiko kama lina

nafasi kwenye tamaduni zetu au kwa wakatii huu. Mfano matumizi ya ubani @ uvumba kenye ibada

za kiislam na kikristu hayo yalikuwa ni matambiko ya kiasili ya watu wa midle east ambako dini hizo

ziliznzia. Suala la nyama kama yalivyo baadhi y makabila ya kiafrika kutokula aina fulani ya nyama

ndivyo ilivyokuwa kwa makabila ya waarau na waisraeli hapo kale (dark ages) na halina uhusiano

wowote na imani wala kiafya. Hao manabii waliandika hivyo vitabu na kuchananya na mambo ya

utamaduni yao ambayo hayana uhusianu wowote na imani. Mambo mengine ya

kitamaduniyaliyopo kwenye vitabu vitakatifu ni pamoja na uzaaji wa kanzu, namna ya kukaa

kwenye nyumba za ibada,Nafasi ya mwanamke na mabo kadha wa kadha. hivyo ndugu yangu

kama unatamani kula unono huo alioumba Mungu kwa ajili ya wanadamu kula tuu usitishwe na mila

na desturi za watu

Nyie ndio tunawaita WAGALATIA!
Kazi yenu ni kupinga andiko!
Halafu mkuu hapo juu amesahau kuwa nyama ya kiti moto inadhoofisha kabisa dushelele!
Si ndio maana unakuta nchi nyingi zinazotumia kitimoto kwa wingi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya WALIBERALI!
Sasa we endelea kupenda hivyo unavyoita vinono!
Sasa hivi utaanza kupaka wanja na rangi za modomo!
Teh teh teh teh!
 
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako

Maamuzi sahihi ni kula kitimoto kwa wingi. Babu yangu ana miaka 95 anakula kitimoto tu. Hasumbuliwi na maradhi yoyote. Wajukuu na vitukuu tunafuata nyayo zake.
 
Nguruwe wakuchoma mtamu
nguruwe rosti mtamu
Nguruwe wakukaangwa wai wai wai mtamuuuuuuu
Nguruwe wakuungwa na ndizi, yewooooo nikoradhi kuvimbiwa kuliko kuweka kiporo
Becon mmmmmh aliyegundua nijiniasssss
Je wenzangu mwamlaje kitimoto?! Maana kimetoka kwa mungu kwaajiliyetu.
 
Nyie ndio tunawaita WAGALATIA!
Kazi yenu ni kupinga andiko!
Halafu mkuu hapo juu amesahau kuwa nyama ya kiti moto inadhoofisha kabisa dushelele!
Si ndio maana unakuta nchi nyingi zinazotumia kitimoto kwa wingi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya WALIBERALI!
Sasa we endelea kupenda hivyo unavyoita vinono!
Sasa hivi utaanza kupaka wanja na rangi za modomo!
Teh teh teh teh!
Acha ushamba akili yako ilishaibiwa na waarabu kila kilicho chao unakiona ni kizuri ndio maana unawaiga kuanzia mavazi , lugha, kufuga midevu na kila kitu . ubongo wako wa ku reason umeuweka rehani .unasema inaharibu dushe mbopna wachina ndio wanaonoza kwa idadi ya watu duniani? au uo utafiti umeufanya kinyumenyeme kama maandishsh fulani?
 
Wakati wa mwezi mtukutu mbona zinashuka bei??????????? au huu ni uongo wanajamvi? Mwezi mtukutu nenda Kilombero, Lindi, Tunduru nk utakuta wachagga walia machozi.
 
Teh teh teh!
Eti wachina wanaongoza kwa idadi!

We unadhani siku hizi unahitaji dushe la nguvu kupata mtoto!
Au hujaskia kuwa kuna watoto wa makopo! Unaenda kujinunulia tu! Mchina muhindi mjaluo chaguo lako!
Kitimoto pia ni sababu kubwa ya saratani ya tumbo na kwa ushahidi zaid ingia hapa kama umekwenda shule lkn!

http://nutritionfacts.org/topics/pork/

Wacha kitimoto wewe kijana usije nyanganywa mke!

Shauti yako.
 
Wakati wa mwezi mtukutu mbona zinashuka bei??????????? au huu ni uongo wanajamvi? Mwezi mtukutu nenda Kilombero, Lindi, Tunduru nk utakuta wachagga walia machozi.

Hayo maswali inatakiwa uwaulize wauzaji!
Unasema hivi ili watu wakujibu kuwa walaji wengi ni waislamu sio?
Basi we ndo mbulula kweli wewe!
Teh teh teh teh
 
Nguruwe ambapo katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.
Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.

Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.

Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.
Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.

Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.

Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo
kabisa Taenia Saginata ya ng’ombe.

KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

KWA UPANDE WA BIBILIA
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao” wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 – 8).

Nimeipenda hii mada hasa ulivyo ichambua nyama ya nguruwe Kiafya lakini nasikitika sitafanyia kazi mafunzo niliyoyapata
 
Asubuhi hii nimepiga minofu kadhaa ya kitimoto home kabla sijaingia job. Ila ilikuwa imepoa, kiporo cha jana, ha ha haa!
 
Back
Top Bottom