Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Kula shwain na kuua ipi afadhali. Mungu aendelee kuwarehemu wakenya waliouwawa bila hatia
Shikamoo Babu!!! kua makini kabla hauja andika Kwanza msome unae taka kumjibu ameandika nini. Sijasema kuua ni afali (naomba usinilishe maneno) Ila kuua kunaweza kua afadhali kama muuwaji atakua analipiza kisasi.
 
Yereeeeee uwiiii simbon safooooo Cremeee! mbusi katoliki ukishushia na kambeke ka baridi, siachi aisee! Mungu alikaumba katamu tuburudike eti...acha kele -kelele kweliiii
Hifiiii! hujui kimtokacho mtu ndio najisi na sio kumuingiacho?
 
kuja pande ile hubby wangu! Achana na watu wenye wivu usio na mipaka! Wanatuua bila sababu, na chakula pia wanataka kutupangia! Hakika nasema, kabla hawajaniuliza maswali yao na kunisilimisha, watakuwa wameoga supu za chakula hiki!

Sidhani kama Mungu atakusamehe dhambi hiyo ya kufuru utakayo ifanya.... Yani utadhubutu kumwaga supu iliyotokana na mnyama mtakatifu...? Ukifanya hiyo dhambi hutasamehewa kamwe..
 
Nani alie kuambia Uzinzi ni bora? Vyote kwapamoja havifai kwa mujibu wa vitabu vyetu vitakatifu.

Usiseme viyabu vyetu sema kitabu chetu.....Yaanbi mijitu mnapenda kuunganisha quran na bible pamoja wkt ni vitabu tofauti na mafundisho tofauti kabisaaaa.... kimoja kinafundisha upendo kingine kinafundisha kuua
 
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.

Kwi kwi kwi...Eti sisi wenye dini ya kweli...Dini inayohalalisha ugaidi na kuua watu wasio na hatia....
 
Teh teh teh!
Eti wachina wanaongoza kwa idadi!

We unadhani siku hizi unahitaji dushe la nguvu kupata mtoto!
Au hujaskia kuwa kuna watoto wa makopo! Unaenda kujinunulia tu! Mchina muhindi mjaluo chaguo lako!
Kitimoto pia ni sababu kubwa ya saratani ya tumbo na kwa ushahidi zaid ingia hapa kama umekwenda shule lkn!

pork | NutritionFacts.org

Wacha kitimoto wewe kijana usije nyanganywa mke!

Shauti yako.
Africa mashariki MOMBASA inoongoza kwa Mashoga. Tanzania wapo hapo Zenji wa kumwaga. Niambie sasa maeneo hayo ndio kunafugwa nguruwe wengi? au kwa luga nyingine maeneo niliyoyataja wakazi wake wengi ni dini gani?
 
As per knowledge dini zote ni viutarataibu waliojifanyia wanadamu kwa ajili ya kumtafuta Mungu. 1 unauhakika kale kautaratibu kenu mliojifanyia ili kumtafuta Mungu ndiko ka kweli ukilinganisha ni viutaratibu vingine? 2 je una uhakika kuwa ninyi (ndani ya dini yenu)nyote hamtumii hii kitu?
Kutumia kutotumia hiyo haina nafasi chamsingi hapa Nguruwe hafai kwa mujibu wa vitabu vyetu vitakatifu lakini wadini nyengine wana vipinga vitabu hivyo kwa kumla na kumfuga Nguruwe.
 
Wakati wa mwezi mtukutu mbona zinashuka bei??????????? au huu ni uongo wanajamvi? Mwezi mtukutu nenda Kilombero, Lindi, Tunduru nk utakuta wachagga walia machozi.
Mwezi mtukufu wa ramadhani mashetani wote uwa wamefungwa ili waumini wa kiislam wafanye ibada ya funga kwa amani na ndio maana kitimoto upungua, ila baada ya ramadhani mashetani ufunguliwa so usishangae mkuu
 
mbona hata ubani unaleta kansa,vipi mtaacha kuuwasha? Acheni mambo yenu kitimoto ni tamu mbya kama unabisha kamuulize mwenyekiti wako wa chama ni member pia
 

Nguruwe ambapo katika mwili wake hukusanyika jumla ya vijiumbe maradhi visivyoondoka kwa kuoshwa
Mdomo ni maficho ya vijidudu, bakteria na virusi vinavyokwenda kwa binadamu na wanyama.
Baadhi yake vinamhusu nguruwe, mfano wa kidudu kiitwacho Trchinella, nywelenywele ziitwazo Balantidium Dysentery, wadudu wa tumbo (Taenia Solium) na mchango wa nguruwe (Spiralis). Baadhi yake huingizwa kwenye maradhi mengi ya pamoja baina ya binadamu ( Cysticercosis & Influenza) na wanyama.

Minyoo (Ascaris na Fasciolopsis Buski) hupatikana kwa wingi nchini China.

Maradhi ya Balantidiasis hupatikana kwa wachunga nguruwe na wenye kuchanganyika nao, na yanaweza kuenea kwa sura ya mlipuko kama ilivyotokea katika moja ya visiwa vya bahari ya Pacific baada ya kimbunga. Maradhi yanakuwepo panapokuwepo nguruwe katika nchi zilizoendelea kiviwanda kinyume na madai ya uwezekano wa kuushinda uchafu wake kwa kutumia teknolojia mpya zinazoharamisha kula nyama bila ya kibali, hasa nchini Ujerumani, Ufaransa, Philippines na Venezuela.
Kwa kula minofu ya nyama ya nguruwe, (Trichinellosis) hupatwa na ugonjwa wa Balantidium Dysentery. Kwani mke hubungua kuta za matumbo kwa ajili ya kuweka mayai ambayo yanafikia kiasi cha 10,000. Mayai hayo huingia kwenye misuli kupitia damu na kugeuka kuwa ni vijiyai vyenye kuambukiza.
Ama kupata maradhi kupitia mchango wa nguruwe, ni kuwa hiyo hupatikana baada ya kula minofu ya nguruwe mwenye ugonjwa.

Minyoo hukua kwenye mchango wa binadamu na urefu wake unaweza kufikia meta saba, na unakuwa na kichwa chenye miba inayosababisha kukwaruzika kwa kuta za michango na mchupo mkubwa wa damu, na ana mirija minne na shingo. Aina za mke huzaliwa kama kwamba ni wanyama pekee na hufikia maelfu. Na katika kila mmoja kati ya mnyama, huzaliwa zaidi ya mayai elfu moja iwapo utakula Cysticercosis.

Kupatwa na ugonjwa wa minyoo ya tumbo la binadamu, hutokana na kula chakula kilichoingia mayai na kutoa lava, na huingia katika damu kupitia kiungo chochote. Na hatari yake hukisiwa kwa mujibu wa umuhimu wake.
Maradhi haya hayatokei kabisa kutokana na kupatwa na mchango usio na miba katika kichwa na wenye madhara madogo
kabisa Taenia Saginata ya ng'ombe.



KIIMANI
kwa upande wa Quran
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).


KWA UPANDE WA BIBILIA
"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao" wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 – 8).

Lev: 11:4'' ‘Kuna wanyama wengine ambao hucheua tu au wenye kwato zilizogawanyika tu, lakini hao kamwe msiwale. Ngamia, ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika, kwa kawaida ya ibada hiyo ni najisi kwenu.

Mbona nyie mnakula ngamia na kwetu sisis ni haramu na wala hatuhangaiki kuwambia msile? Shikeni yenu...hamridhiki tu na dini ya mwenyeeezi mungu wenu?
 
ukitaka kujua kama hiyo nyama ya nguruwe haifai kabisa kwa matumizi ya binadamu hebu jaribu kufanya yafuatayo kabla ya kupika
1. Chukua nyama ya nguruwe robo kilo/nusu kilo(mbichi) halafu uiweke kwenye bakuli/sufuria
2. Chukua soda aina ya coca cola kama lita moja hivi halafu iloweke hiyo nyama kwenye hiyo coca cola
3. ifunike kwa muda wa kama dakika 40 hadi saa 1 ivi halafu ifunue uangalie
4. Nyama hiyo itatoa wadudu wa chooni/funza ambao wanaonekana kwa macho haihitaji darubini.
5. baada ya hapo fanya maamuzi sahihi kama kweli unajipenda ww na familia yako

Hii experiment inabidi uijaribu wewe mwenyewe, na sio kuamini video za kwenye internet.
In fact, kama mnyama ni mgonjwa (ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k) mwili wa myama huo haufai kuliwa na utakuwa na vijidudu hatari kabisa.
getAsset.aspx
 
Shikamoo Babu!!! kua makini kabla hauja andika Kwanza msome unae taka kumjibu ameandika nini. Sijasema kuua ni afali (naomba usinilishe maneno) Ila kuua kunaweza kua afadhali kama muuwaji atakua analipiza kisasi.

Nakutaka radhi mkuu. Pamoja sana.

İla shwain tule tu mkuu. kwa afya zetu.
 
Kiti moto kwa afya, kiti moto ni yenyewe karibuni kwa mzee Robert Mburahati ya kuchoma.
 
Nguruwe hafai kabisaa, nashukuru sisi wenye dini ya kweli tuna kemewa/kemea hata kufuga. Lakini kuna dini za kizushi ambazo vitabu vyao vina kemea lakini waumini wake Pamoja na viongozi sio kula tu mpaka kufuga tena kenyewe hujiona fahari sana kufanya hivyo.

Unamaanisha ile dini ya Westgate??
 
Ahsante kwa kunikumbusha aisee nina wiki kadhaa sijaonja hii kitu, uiiiiiiiiiii lete kitimoto ndizi na lite ya baridi
 
jana nimekula kitimoto rost na ndizi,na sintoacha kula hata iweje!hakuna nyama inauzwa gali kama kitimotos
 
Back
Top Bottom