Zaidi utapata minyoo......la muhimu nenda kamuone daktari.....atakupa dawa fulani hivi.......itapunguza hiyo hali........
Dr Preta......
Dr Preta, hivi hospitali yako iko pande gani? Na kama sina hela unaweza kukubali mbuzi anaetembea kama malipo?
Una GPS.....nikupe coordinates....? Na huwa napokea kuanzia ng'ombe hadi farasi.......karibu sana.....
Dr Preta......
Nakuja na ngamia, yuko hapa ngarenaro opposite na jobi dispensary. Unge chek in kama fb google watanileta. Gps nimeacha ofisini.
Daktari habaria yako, mimi sina mimba ila napenda sana kula udongo, naomba uniambie madhara yake ni
nini na pia jinsi ya kuucha mana nimejarbu sana kuacha lakini nimeshindwa.