Madhara ya kula udongo.

Madhara ya kula udongo.

Q.L

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
57
Reaction score
10
Daktari habaria yako, mimi sina mimba ila napenda sana kula udongo, naomba uniambie madhara yake ni
nini na pia jinsi ya kuucha mana nimejarbu sana kuacha lakini nimeshindwa.
 
Zaidi utapata minyoo......la muhimu nenda kamuone daktari.....atakupa dawa fulani hivi.......itapunguza hiyo hali........

Dr Preta......
 
Dr Preta, hivi hospitali yako iko pande gani? Na kama sina hela unaweza kukubali mbuzi anaetembea kama malipo?

Una GPS.....nikupe coordinates....? Na huwa napokea kuanzia ng'ombe hadi farasi.......karibu sana.....

Dr Preta......
 
Nakuja na ngamia, yuko hapa ngarenaro opposite na jobi dispensary. Unge chek in kama fb google watanileta. Gps nimeacha ofisini.

Ok ok......huyo ngamia nimemuona jana.....hivi hapo leo ndio ile babeqyu eeh......
 
Kumbe tuko wengi, mi mwenyewe nilishajitahidi kuacha nimeshindwa, madhara makubwa ni kupata apendex na nadhani madhara ya apendex unayajua, kingine ni minyoo. mimi humeza dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu, apendex ilishatolewa, ila najitahidi kuacha lakini ndo hivyo

Back
Top Bottom