Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
ila Mimi sipendi sembe sio kwa sababu ya kuwa na kipato kizuri. Kipato changu ni cha kawaida sana, ila nina shukrani kwa Mungu.Sio wewe tuu. Mtu yeyote mwenye kipato kizuri na akajua kula, hawezi ifanya sembe kama chakula cha kila siku kwenye nyumba yake. Katika kua kua yetu nakumbuka mara moja moja sana Bimkubwa alikuwa anapika kande. Na penyewe alikuwa anakula mwenyewe. π
Angalia watoto wa shule ishu ya macho. Macho yanawatesa sana wanafunzi mikoa hiyo nimetaja. Kutokuona mbali ni kawaida kabisa kwa mtoto wa form II.
Kama mtama,ngano,uwele,karanga,ulezi,soya,mchele, dengu na vyakula vingine vyenye virutubisho vinaweza kuwa mbadala mzuri wa mahindi.m'badala wake uwe nini sasa
ila Mimi sipendi sembe sio kwa sababu ya kuwa na kipato kizuri. Kipato changu ni cha kawaida sana, ila nina shukrani kwa Mungu.
Wanasema wengi tupo addicted na ugali. Mimi mwenyewe mmojawapo, nikipitisha siku tatu sojala ugali nahisi kuchanganyikiwa πSio wewe tuu. Mtu yeyote mwenye kipato kizuri na akajua kula, hawezi ifanya sembe kama chakula cha kila siku kwenye nyumba yake. Katika kua kua yetu nakumbuka mara moja moja sana Bimkubwa alikuwa anapika kande. Na penyewe alikuwa anakula mwenyewe. π
Angalia watoto wa shule ishu ya macho. Macho yanawatesa sana wanafunzi mikoa hiyo nimetaja. Kutokuona mbali ni kawaida kabisa kwa mtoto wa form II.